JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimelala hapa na foronya
0 Reactions
19 Replies
2K Views
An 8 year old son asks his dad, "What's the difference between 'Potential' and 'reality?'" Dad turns to wife, "Would you sleep with Barrack Obama for $1 million?'' Wife answers, "Of course, I...
13 Reactions
32 Replies
8K Views
Habar ya asubuhi, wana JF hivi ushawahi experience hichi kitu kipindi unasoma shule!! Wewe ulisikia kipi kutoka kwa walimu wako?
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Binafsi nilijiungaa nikiwa kidato cha tatu mwaka 2013,niliifahamu kupitia youtube kwa sababu youtube ndio ilikua sehemu yangu ya kupatia maarifa,kujua habari zamichezo na siasa za nchini...
1 Reactions
14 Replies
980 Views
Mwanaume anapokutana na msichana mrembo asiyemjua njiani harafu mrembo huyo akaomba msaada wa nauli kwamba amekwama...basi sina shaka mrembo huyo nauli atapewa na namba ya simu ataombwa mara...
9 Reactions
15 Replies
1K Views
Comment kwa kuandika simu yako model yake unayotumia tujue Ni simu gani Kama Ni kampuni ya tecno au Samsung au iPhone mwisho wa siku tutajua simu gani inaongoza kutumiwa na Wana jf Naanza Mimi...
1 Reactions
57 Replies
4K Views
Rafiki yangu wa siku nyingi amestaafu miaka mitatu iliyopita. Baada ya kupata kiinua mgongo chake akaamua kutafuta washauri jinsi gani atumie fedha zake katika miradi mbali mbali ili iwe endelevu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kila toleo jipya la simu anataka nami sina noma namnunulia na juzi juzi kaja anataka laptop ili amalizie kazi zake za chuo kwa muda muafaka nami niaona ni jambo jema nikamnunulia. Wiki...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Preacher said: "If I had all the beer in the world, I'd take it and throw it into the river". And the congregation cried, "Amen!" "And if I had all the wine in the world, I'd take it and throw...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Dada yule alikuwa ame mu add mumewe FB wakawa ni marafiki. Dada pamoja na mumewe niwatumishi wa umma idara ya afya. Mumewe akawa amepata safari ya zaidi ya mwezi mmoja humu humu ndani ya nchi...
9 Reactions
100 Replies
7K Views
We mdada kama umevaa hii sketi na chura,msambwanda, wowowo lako halijatingishika au kuvibrate wakati unatembea, basi sahau kabisa halitakaa litingishike tena maisha. Tuseme tu wewe ni male mwenzetu
12 Reactions
80 Replies
11K Views
kama kichwa cha habari hapo juu 1. ukiona umezaa na mwanamke watoto zaidi ya mmoja na bado unamuona hafai kumuoa jua hujajitambua 2. ukiona uko kwenye chama fulani halafu hupendi kinavoendaenda...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
kuna dada mmoja alikuwa hawajui wanaume hivyo aliolewa na mzee ambae jinsia zake za kiume ziko mbili.yule dada baada ya kugundua vile alianza kudai talaka kwani alimuona kama sio mtu wa kawaida...
6 Reactions
19 Replies
8K Views
Chizi mmoja alipiga simu milembe CHIZI :helo hapo ni milembe RECEPTION :ndio nkuxaidieje? CHIZI :nilikuwa naomba uniangalizie chumba no 17 kama kina m2! RECEPTION :ok ngoja....(baada ya mda...
6 Reactions
16 Replies
7K Views
Huwa naenjoy sana kusoma yaliyoandikwa nyuma ya daladala hasa ninapokuwa kwenye foleni. Misemo maarufu ya kwenye daladala. 1.Yatima hadeki 2.Utamu wa chips mimba 3.Ukitaka kujua ugumu wa kudai...
11 Reactions
130 Replies
25K Views
Na hao watu wanaojiita wamikoani sijui tatizo nini? Kuna watu saivi mtaani hawali chips vibandani Kuna watu saivi kuoga Mara moja kwa wiki. Kuna watu saivi Maisha yao yameharibiwa na hii misemo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Baada ya "UMAMA" na "UNAKUFA" sasa ni "ILA SIMTAJI" Malizia sentensi yako na ila simtaji kama mfano hapo chini Kuna mtu anachezea sharubu za simba, ila simtaji
0 Reactions
7 Replies
1K Views
habar za asubh... jana kulkuwa na hz habar za amber ruty.. katka kuptia koment nkakutana na neno 'danga'.. iv hl neno lna maana gan... kwasabu wanaume anaitwa danga na mwanamke anaitwa danga...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
dawa hiyo nimetumia KEMIA IFUATAYO PILIPILI + PARACHICHI + NDIZI = msukumo wa usambazaji damu mwilini, kuongeza uwezo wa mtu kufanya tendo la ndoa ni Parachichi, uimara wa misuli ya mwili ambayo...
0 Reactions
22 Replies
19K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…