Katika jamii yetu ya Afrika asilimia 95 kila mtu alikuwa na jina lake la utani yaani lile jina ambalo siyo la kupewa na wazazi ila limezuka tu from no where,
Njoo tuambie sasa hapo jina lako la...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu
Niko kwenye maandaliz ya kuandaa sherehe ya siku ya kuzaliwa ya baby wangu jjes
December 16 ndo ulizaliwa na...
Kuna wapangaji wenzangu hapa nilipopanga sijui wananichukuliaje, utakuta sometime ni zamu zao katika usafi lakiini chaajabu naambiwa ni mimi ndo wakufanya usafi wakati nimetoka kufanya usafi jana...
Uzi wetu huu wale tunaotumia tecno wereva ni wa kuelezea ni aina gani ya toleo la simu unalotumia ,vipuli vya tecno,matengenezo yake,matatizo na jinsi ya kuovercome,
Bila kusahau brand mbali...
Eti ooh haya mafanikio yangu juhudi zangu mwenyewe. Hakuna kitu kama Mungu... Nimesoma nakujituma. Kama Mungu yupo na ajionyeshe Sasa... Mara ukifa unamkuta huyu hapo ameketi kwenye kiti Cha enzi.....
Wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, Mkoa wa Dar es salaam, ambao ndio uliozaa jina la Bongo na kusababisha nchi yetu iitwe Bongoland (Nickname), hakika safari hii umepata mkuu wa Mkoa...
Trend iliyoshika kichwa na miguu sasa hivi ni hii ya unakufa!
Mi nadondosha unakufa zangu halafu na wewe weka zako,
1.unamwacha mumeo kisa ana kibamia,unampata mwenye mashine kubwa,anakupiga...
Thin line between Improving and proving..do not go around trying to prove your point...instead seat and reflects ..work on the areas in your life that's need improvements ...you will be amazed by...
Ilikua ni majira ya SAA saba kasorobo usiku, nikasikia sauti kichwani mwangu.
Inasema hapa kazi tu, ukinunua dai risiti, lipa kodi kwa hiari kwa maendeleo ya taifa.
Ghafla naona 10 10 na vijana...
Naonaga watu kadhaa huku wanasema au kushangaa Kama watu tunajuana na wengine nje ya humu. Lakini unakuta Kati ya hao wanaoshangaa wanakesha pm au umeshaonana nao mtaani lakini wakiwa huku...
IT'S TIME FOR JOKES AND LAUGHTER
NAMBA MPYA: Hallo tunaongea na Iddy bakari?
MIMI: Ndio mimi Iddy bakari.
NAMBA MPYA :Unachezaga tatu mzuka?
MIMI:Sana kaka nacheza mpaka 60,000 kwa siku na...
Mimi binafsi nilishangaa kuona watu wanauza hela, lakini nilijiuliza kwanini wanauza coins tu. Siku moja nimepewa tuition fee nikasema leo ngoja ninunue hata za buku, nikapewa mia tisa. Kuuliza...