JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
1.Mnakatiwa katiwa mboga za majani magengeni kwani kazi hii hamiwez wenyewe kama wenzenu wa mikoani? 2. hali katika mabucha pia si shwari mkienda kule mtaomba mkatiwekatiwe nyama hata kwa kutozwa...
9 Reactions
91 Replies
5K Views
Mashostito na Masela ni kiwanja kipi kinabamba kwa leo hasa maeneo ya kinondoni. Fourways Park nimeshapachoka hata governors nimeshapachoka. Papichulo nehii, Break-point pale napo nimepachoka...
3 Reactions
202 Replies
12K Views
Bar zenye wahudumu wakiume huwa poa sana. Ukikaa kaunta ni full stori bila unafiki, stori waziwazi. Kuna kipindi nilikuwa nasafiri kilomita kumi kufuata bar ya jamaa yangu. yeye ndiyo alikuwa...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
natafuta machine ya kutengenezea hela bandia wakuu, alienayo ani pm
1 Reactions
0 Replies
330 Views
Siku moja wakati natokea kwenye mishe za hapa na pale pande za kigamboni nikapanda gari la kigamboni kwenda machingacomplex kwenye gari kama unavyoelewa kwenye magari ya machinga complex kuna...
5 Reactions
23 Replies
5K Views
Mm avater nayotumia ni ya bilionea kutoa SA, anatwa Nicky oppenhermer ni former chairman wa kampuni ya alimasi huko SA inaitwa De Beers Ltd, ana utajiri wa Usd $7.7b mm nilichangua hii picha...
9 Reactions
453 Replies
18K Views
*Jamani kuna skendo zimesambaa mitandaoni kua mimi ndio nilio muona mo,,,Nakanusha kua hizo skendo ni zauongo ni watu 2 wanataka kunigombanisha na watu wanao...
1 Reactions
1 Replies
921 Views
Kuna wauza sura waleee wasafiii ...na wale wa piga mathee ....wapiga kengeree ......waanzisha nyimbo shulenii ..waandika notees ubaoni....mamodo wa shule ...walimu wanafunzii ....N.k tuwapee hi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa habari za kunyapia nyapia ni kwamba Irene Pancras Uwoya (Sheila Abdul) aanza kumchukia dogo janja kiasi cha kuyumbisha penzi lao na mbaya zaidi amekuwa akimnyima penzi dogo janja na mara...
0 Reactions
105 Replies
15K Views
Kutokana na tamaduni na imani zetu zipo nyama za wanyama mbalimbali ambazo tumekuta haziliwi na wazazi wetu na sisi tukajitenga nazo ingawaje sehemu nyingine katika nchi kama China zinaliwa.mfano...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Una ninyima viazi unakula mwenyewe na huna maji unakula unakufa
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Nimeukumbuka sana huu mchezo[emoji23][emoji23] siku moja tupo uwanjani, mpira baada ya kutoboka tutahamia kwenye huu mchezo, na mimi nilikuwa kibonge hatari yaani kukimbia ni mtihani Mchanga...
8 Reactions
53 Replies
5K Views
Swala la Mo tuwaachie serikari sisi wana JF turudini kwenye mada zetu za kila siku, Hivi member gani humu JF unafikiri Ana sura mbaya kutokana na Post zake au vile tu unaona ID yake ilivyo so...
6 Reactions
184 Replies
9K Views
Hello bosess! Ikiwa maisha yako toka uzaliwe hadi leo vitu ulivyo fanikiwa, ulivyo poteza, na malengo yako ukiviandikia kitabu utakipa jina gani?? Mm nitakiita "Journey Of Mysterious Gentleman"
3 Reactions
111 Replies
7K Views
WANAFUNZI TAKRIBANI 682 WAMEFUTIWA USAJILI WAO CHUO CHA UDSM KAMA UNA RAFIKI YAKO ALICHAGULIWA UDSM MWAMBIE AANGALIE ACCOUNT YAKE [emoji1545][emoji1545]saidia kushea iwafikie walengwa
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Stress ni pale ulipo tengeneza tshirt kibao za BRING BACK MO ili uuze kwenye mechi ya simba na stand alafu MO kaonekena leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Since you’ll know everything, what is the answer.?
3 Reactions
36 Replies
2K Views
habarini wakuu, wale nakumbuka siku moja ilinibidi nipige plasta kisusi nlikua na msaidizi wangu mmoja hivi namuamini sana nikamshirikisha kwene zoezi la kutengeneza jukwaa, jukwaa lilikua linasua...
1 Reactions
5 Replies
704 Views
Wanaume wa siku hizi hawana shughuli kabisa pulling imekua ndogo japo wanajitahidi kutumia viungo vya kila aina lakini bado yaliyomo hamna kitu. Wanaume wa siku hata gym sijui wanaenda kufanya...
6 Reactions
94 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…