JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hizi ndo nyimbo kali balaa ukumuimbia mupenzi wako lazima alainike hata kama kachukia vipi , twende sasa tuimbe kwa pamoja Mabata madogo dogo yanaogelea yanaogelea katika shamba zuri la bostani...
6 Reactions
51 Replies
7K Views
Leo nimepanda Basi toka Mkoa mmoja wapo wa Nyanda za Kusini naelekea Kanda ya Ziwa nikiwa na shauku kubwa kwakuwa tulipita njia ambayo nilikuwa nikiisikia sifa yake kuwa si rafiki hasa pale...
22 Reactions
188 Replies
14K Views
Wale wapenzi wangu wakae nimewamiss sana Yeezus nimerudiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Nikaribisheni
0 Reactions
44 Replies
3K Views
Aman iwe nanyi. Wanaume Wa mikoan sasa kushitakiwa haki za binadam kwa unyanyasaji Wa kijinsia
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Wakuu, Naandika hapa nikiwa sielewi elewi kinachoendela. Iko hivi, Siku kadhaa zilizopita niliona kuna message PM kwangu na kiukweli nilifarijika sana baada ya kuona kuna pm kwa sababu mimi ni...
8 Reactions
73 Replies
4K Views
Aisee nasema hivi tuelewane . Marufuku kukoment chochote kwenye uzi huu. Wewe utakae koment ni nyauba. Nataka uzi huu uwe kimya miaka yoote. Hata like sitaki nimesema. Ukiona mtu ka komenti...
1 Reactions
68 Replies
5K Views
Jamani kuna watu waongo kweli duniani, utakuta mtu anaumwa halafu anatoka mtu mwengine anakwambia eti Jaribu kuchemsha bunda la mpapai utapona. Kuna jamaa mmoja nilimkuta akichemsha majani ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Asikwambie MTU hakuna kitu kinachonikera kama: 1.Kumwona MTU anakabwa halafu nashindwa kumsaidia(Mimi mwanaume wa dar) 2.Kumwona MTU ninayemjua akimuibia mwengine(nashindwa kumwambia asimuibie)...
3 Reactions
18 Replies
915 Views
mwenye vitabu kwa njia ya PDF mbalimbali vya simulizi antumie
1 Reactions
3 Replies
709 Views
Wauguzi wa kike wamelalamikia kunyanyaswa kingono na wagonjwa wa kiume waliolazwa hospitali. wengine huwachungulia nguo zao za ndani wanapokuwa wameinama kuhudumia wagonjwa wengine, na pia...
1 Reactions
49 Replies
8K Views
[emoji4][emoji4][emoji4]
26 Reactions
487 Replies
17K Views
Sio siri mimi jiji hili la Makonda nimezijua sehemu nyingi kwasababu ya kufuatilia papuchi. Pamoja na kuzaliwa mji huu ila kuna sehemu kama sio totoz nisingefika maana hamna sababu yoyote. Totoz...
17 Reactions
186 Replies
10K Views
Hahah, nimecheka sana, Kuna jamaa huko twitter alituma picha yake akiwa na mbwa akaomba wataalamu wa photoshop, wamtengenezee picha yake ifananie na picha ya katuni fulani, yaani ziwe na mfanano...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
Naona wanawake wametuandama sana na umama!Sasa na wababa fursa kujitetea! Mwanamke kuwa na ziwa dogo kama nyanya chungu ni ubaba,mwanamke ziwa kama tikiti!
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Naam, The heading above is concerned! Tunga shairi lenye ubeti mmoja au zaidi kwa mwanamke yeyote ambaye unampenda hapa jf. Shairi linaweza kuwa la kimapokeo yaani lenye vina na mizani au la...
17 Reactions
532 Replies
25K Views
Do you want to shop online at an affordable price. Check it out For Africa Welcome to Africa's Largest Affiliate Online Shopping Mall.
0 Reactions
1 Replies
642 Views
Nipo hapa town lakini bado sijaelewa wapi naweza lata kitu roho inapenda aka totoz
0 Reactions
3 Replies
792 Views
BECAUSE OF YOU, I LAUGH A LITTLE HARDER,CRY A LITTLE LESS,AND SMILE A LOT MORE. I''M DEPRESSION PLEASE DON'T INSULT ME.
3 Reactions
89 Replies
5K Views
Kwa haraka haraka ukiingia hapa Jf Unakutana na mada ambazo ukizisoma lazima ufikirie kwamba wakati mtoa mada anaandika bandiko lake kuna mtu baki alikuwa anamkopi uandishi wake, Mfano kuna ambao...
2 Reactions
8 Replies
922 Views
Haki ya MUNGU vile mimi sio chizi ila watu wananitia uchizi. Kutotenda haki, kutenda ubaya, uongo etc. Vitu kama hivi ndio vinanitia uchizi na hivi vyote vinachangiwa na wanadamu. Mfano mtu...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…