JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jana nipo kijiweni kwetu na washkaji tunapiga story za MO jamaa mmoja akaanza kuhadithia jinsi zamani watu tulivyokuwa tunaogopa magari ya msalaba mwekundu Mara wanyonya damu Mara wachuna ngozi...
1 Reactions
57 Replies
3K Views
Mpaka mda huu hajapatikana na mimi kama mkereketwa wa Simba na Amani kwa ujumla niwasihi wanasimba popote mlipo iwe vyombo vya usalama, ofisi za uma, michezoni, nje ya mipaka, ndani ya mipaka na...
3 Reactions
41 Replies
3K Views
  • Closed
Habari ya jioni wana JF, Sina haja ya kutoa maelezo mengi na kuwapotezea muda, we chungulia[emoji102] hapo chini kwenye material yenyewe. Na tuendelee na majadiliano kwa wale ambao washalionja...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kuuliza sio ujinga. Naomba tuorodheshe vitu vilivyogunduliwa Bongo.
2 Reactions
52 Replies
5K Views
habali wna jf wakati tuna enjoy mpambano mkali kati ya cape ved na T stats Huku ndugu hawa jamaa hawakutaka kuwa nyuma. Katika harakati za kuanza kuitafuta billion moja[emoji28][emoji28]
0 Reactions
0 Replies
820 Views
Za asubuhi ndugu zangu Mimi nawapenda Sana Wana jf yaani nawachukulia Kama ndugu zangu kabisa marafiki wa karibu.mimi mwenzenu Jana shimo limetema nimeshinda bet Kuna hela nimepata nyingi tu Kama...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Naomba Ushauri wako juu ya Muziki Wangu - JamiiForums
0 Reactions
1 Replies
391 Views
habari za Siku wakuu kama heading inavyosema hapo juu naomba kujuzwa kuhusu ndugu zetu/watanzania wenzetu wanaolinda mila na tamaduni zao afrika ya mashariki (masai) hivi huwa wanavaaga ch#pi kama...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Wale wote wageni wa JUKWAA letu hili penda la CHITCHAT nawakaribisha sana jukwaa hili.Humu ni sehemu salama kabisa ya kuchati chochote unachojisikia ila usivunje sheria za JamiiForums.com...
5 Reactions
516 Replies
19K Views
Mambo vp, Kwa wale wenzangu na mm tulioyakuta haya makanjanja yaliyokua yanasifika Dar es Salaam na Tanzania Kwa ujumla ma DCM. Aisee hapa nisiwe muongo haya mandinga yako slow kwenye...
1 Reactions
6 Replies
676 Views
Naomba Ushauri wako juu ya Muziki Wangu - JamiiForums
0 Reactions
1 Replies
779 Views
Wana jf nawasalimu kwa moyo mnyoofu(hivi mkunjufu ndo sawa eeh) Turudi kwenye mada kimsingi bilioni moja sio pesa ya mchezo mchezo kwa mfano nkiipata mimi ntaifanyia nini?? Kwanza:kuipata hiyo...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu habarini za sahizi... Nimekaa siku nzima nawaza suala la tajiri mfanya biashara na mmiliki wa Club ya Simba bwana Mo dewji ukiachilia mbali dau hilo la bilioni moja...... Wakuu Kwanzaa...
12 Reactions
30 Replies
3K Views
Tulioishi kotaz za polisi, magereza, jwtz na majeshi mengine Tuelezane maisha kwa ujumla yalikuwaje. mimi binafsi nimeishi kotaz za JW kama ujuavyo kuna kotaz za maofisa na wale wachini...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Jf ya sasa imebadilika sana kwa mfano; 1, MMU limekuwa la visa vya mapenzi vya kutunga and not real stories 2, Chit chat imekuwa na story za kubuni 2, Jf Doctor imekuwa ya mapovu tu hakuna...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Hebu mwana jf otea hapa duniani Mimi naishi wapi sehemu gani ? Ila mambo ya kutekana tekana sitaki !!
1 Reactions
38 Replies
2K Views
WanaJF huwa nikisoma signature za hawa wanajf nazitafakari kwa makini na kuona zina ujumbe mzito na maridhawa. Hizi ni baadhi ya Signature zinazonikuna roho yangu pamoja na majina ya "wamiliki"...
18 Reactions
108 Replies
8K Views
Nyie wanaume kuna ugumu gani kujibu hili swali? Ndo men's code ama?
2 Reactions
84 Replies
12K Views
Tupia kichekesho chochote ulichokiona kimeandikwa kwenye chombo chochote cha usafiri. Mimi naanza "HELA TUNAPATA, TATIZO CHUPI" "UKISIKIA INAUMA,JUA IMEINGIA"
2 Reactions
33 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…