Kuna watu nikiwafikilia hapa natamani niwatanie tu
GENTAMYCINE akimaliza kuosha magari pale lumumba anasikilizia story za uongo kwa wazee wa kashata anakuja hapa kutudanganya,
Sky Eclat...
Moja kwa moja kwenye mada...hilo swali ni gumu sana kwa vijana domo zege(mostly) na wapenda kutelezea ganda na ndizi.
Unakutana na binti mkali haswaaa ila kumuomba contacts inakua mtihani...
Nimekua nikiwaza sana kwanini wana JF hatukutani hata mara moja kwa mwaka? Wengi mnaogopa kujulikana identity zenu lakini kwani ukija sehemu yenye watu 100 na ukajitambulisha wewe Gladys na huku...
Sina uhakika kama nimepatia jina hilo...
But naamini nimeeleweka...
Juzi nilikuwa sehemu hivi,kama restaurant hivi
akatokea mwanaume,umri over 50 kwa muonekano....
Sasa alikuwa anaonekana kama...
You deserve every kind of Happiness...
Hongera sana Heaven on Earth.
Happy Birthday....[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Urembo wako uongezeke zaidi, nguvu ziongezeke...
BABA YETU KISHAROBARO
Baba yetu unasizi majuu ,jinalako lihit sana utusome na mamkate mabaga na mazagazaga..utupotezee tukiharibu baab kama na sisi tunavowachukulia poa washkaji wakizingua, one...
Habari za wikiend wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyosema, kuna brother mmoja alikua ni Msouth alikuja sehemu moja ya starehe (Bar) na masister kama watano hivi (Wasouth wenzake). Sasa ikawa...
Sisemi vibaya ila kiukweli niliyoyaona leo yamenitisha baadhi ya wanaume wa dar wananuka harufu mbaya za majasho.
Nimeshuka zangu airport nikasema nipande daladala kwenda kwa Raynavero Sinza...
Kwanza ingekuea mchanganyiko wa girls and boys!!
Ingekua Kuanzia O level hadi Advanced level
Kungekua na comb zotee kwa advance
Mabweni yangekua kama yotee..
naomba nipange safu ya viranja...
Hata kama hatuhujuani,hivi huu ujasiri wahusika huwa wanaupata wapi ?
Maana daah,kwa mtazamo wangu,narudia tena kwa mtazamo wangu naona haijakaa sawa na si katika sifa zetu sisi wanaume,labda uwe...
Natumai mmeamka vyema Makamanda kwa kudra zake mwenyezi Mungu!
Katika maisha ya mwanadamu aliye na uchu wa maendeleo na uchu wa kutumia muda wake hakuna kitu kinakera kwake kama kukaa bila...
Kwanini kina dada mnawaamini hawa watu hivi...sisi tuliojiunga mwaka jana mwaka juzi tukija mnatuona kama wazinguaji.
Hamjui hata hawa wakongwe wapo hivi. kukuchezea ni tabia ya mtu tu haina...