Habari RAIA wema wa nchi yetu..amabao japo yakua maisha yanazidi kua magumu lakini bado mnapambana na kumwamini rais wetu pamoja na jopo lake lote LA uongozi...........
Niludi kwenye mada Leo...
Kwema mazee?
Kama hujawahi kutembelea sehemu za uswahilini hasa mitaa ya Mabibo,Manzese na Kigogo jijini Dsm basi umepitwa na mambo mengi ya kufurahisha maishani! Ni sehemu zenye visa,vituko na...
Heshima yenu Makamanda!
Wakubwa mimi ni Mwanafunzi wa University fulani hapa Nchini, Ninasomea Uhandisi wa Ujenzi, Maji na Barabara!
Kwa sasa baada ya kumaliza mwaka wa Masomo 2017/2018 tumepata...
What's up status huwa zina beba mantiki kubwa ambayo muandikaji huwa ameifikiria,
Mm binafsi huwa napenda kusoma na kutafakari status za watu,japo nyingine huwa za kawaida lkn nyingine hubeba...
Rejea kwenye kichwa cha Uzi hapo juu.
Binafsi nimekuwa nikipata usumbufu sana kutoka kwa haya Makampuni ya mitandao ya simu kwa kutumiwa SMS za kipumbavu.
Kutwa napokea SMS za;
Vodacom Ofa
Boom...
kwa wale wote waliokuwa na akaunti zao Facebook napenda kuwapa taarifa kwa kuanzia tarehe 10/10/2018 kutafanyika tasmini ya malipo kwa wale wote ambao akaunti zao zilidukuliwa na kama kuna ambao...
Jana nilienda hotelini.. ila nikakuta Meza zote zimejaa watu.. so nikaona isiwe Shida..
nikatoa simu yangu kisha nikaweka sikioni halafu nikasema..
Oya jamaa! Eeh njoo hapa nimemuona wife wako...
Habari za masiku Wakuuu...
Baada ya kuwa busy takribani Miezi 11 na kutopata hata muda wa kuweza kuingia ktk hii dunia yetu pendwa (jf) Sasa niseme tu kuwa nami nipo...
Asante
Hongereni wanawake kwa siku yenu. Tunawapenda Sana kwani ninyi ndio furaha yetu, amani yetu, utulivu wetu. Bila ninyi dunia hatujui ingekuwaje.
Basi baada ya machache hayo nirejee kunako mada...
KUNA MAMBO AMBAYO UKIONA MWANAUME ANAYAFANYA UJUE HUYO KUOA NI MAJALIWA YAKE MUNGU
1. Anakuna Nazi Ghetto
2.Anapika Chapati Za Kusukuma
3. Anapika Makande
4. Ameweka Midoli Na Kadi Kitandani...
Habari zenu wakuuu
Mimi ni bilionea kutoka Bunju.
Basi nimeamua noongeze nguvu kuwasaidia maskini na wasiojiweza
Wale wanaotumia freebasics msipate tabu mkiniquote popote pale nawaachia token za...
INBOX YA MDADA.
1:I love u dear. [Gerald]
2:Nikutoe out leo.[John]
3:Huwa inaniuma sana nikikuona na wanaume wengine.[Mwambi]
4:Sweaty usisahau trip ya Bagamoyo uniambie nikupitie wapi.[MD]...
Humu Jamii forums kuna baadhi ya member michango yao ni adimu sana kiasi kwamba wakikosekana wanaacha pengo kubwa sana humu jukwaani.
Michango yao kwa namna moja au nyingine husaidia kuleta...