JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari zenu kama tunavyojua mpendwa wetu Leejay49 alipata shida kidogo iliyopelekea kufanyiwa upasuaji wa sikio na jicho ni baada ya muda kidogo leo nimepata kuwasiliana nae Anasema anaendelea...
46 Reactions
184 Replies
2K Views
Sijamtaja mtu nimekumbuka katuni ya Kirikuu. Chama cha kijani kinaandwa na laana ya kuropoka ropoka Alianza Waziri Pena, Akaja, Mama yangu Kumwita Mnyama jina la Binadamu. Mara Mbwa. Chura Simba...
1 Reactions
4 Replies
253 Views
Hii nimeshajaribu mara kadhaa, ukicheki dashboard mshale unasoma 120kph, gari inaenda kasi, lakini unaona kama imesimama hivi.., ukicheki nje unaona kabisa hii gari haizidi 30kph..,
5 Reactions
24 Replies
508 Views
Salaam ! Kaka mkubwa "The Boss" nimekumiss mdogo wako Mkunazi Njiwa [emoji7] Nimemiss mikato ya maneno yako mkuu wangu.... Popote ulipo "shout out" dude ! #Nchi Isalama chini ya mh.Rais...
8 Reactions
43 Replies
768 Views
Leo tuifanye hii thread iwe ya moto. Ni ushauri upi wa muhimu unao mpa kijana wa kitanzania siku ya leo ili aweze kuyabili maisha vema?
0 Reactions
1 Replies
133 Views
Wadau mimi nina swali hapa. Wapi ni sehemu sahihi haswa ya kukutana na mchumba wa kuoa? Wengi wanasema sehemu ya ibada, je nyie wana jamii Forum mwaona wapi ni pazuri kukutana na mchumba wa kuanza...
1 Reactions
7 Replies
290 Views
Chemsha mchaichai majani ya maboga oga siku tatu maji uvuguvugu tia chumvi mawe kijiko kimoja manuizi ya mvuto kupendwa kuthaminika. Fanya mpaka saba, ogea njoo niambie.
1 Reactions
4 Replies
216 Views
Enzi huzo nipo chuo, mida ya asubuhi nimeenda mgahawani kupata supu then niingie zangu pindi. Basi bwana, nikafika nikaagiza supu nikawa nasubiriwa niletewe. Sasa kuna vile vitambaa vya...
3 Reactions
8 Replies
309 Views
Tutapate raha kwa matani na picha za vichekesho leo weekend
5 Reactions
0 Replies
428 Views
Elewa tu sisi wengine hatuna maisha mazuri ila mioyo yetu ipo tayali kukosa kuliko kuzulumu haki ya mtu.
4 Reactions
9 Replies
246 Views
Leo ni kumbukizi ya kuzaliwa Kwa chakorii.. Karibu tusheherekee pamoja na Gemini. Kama na wewe unasheherekea birthday yako leo tafadhali mguse Mungu Kwa namna ya kipekee kabisa.Tembelea watoto...
18 Reactions
130 Replies
3K Views
Hello hello hellooooooo. Mko salama jamani😉😉 Leo ni birthday ya Chakorii. Karibu tusheherekee pamoja 🫶🫶 Mtoto ninapokea zawadi🥳🥳🥳 Huhuhuuuu🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️ 🥂🥂🥂🥂
17 Reactions
56 Replies
979 Views
Dear crush ninakusabahi nikiwa nyuma ya keyboard,uhali gani?🥰🥰 Nikiuona mwandiko wako basi roho yasuudhika barabara(jamani mniombee)😊😊hallelujah. Usivyopenda malumbano🥰🥰 ndio kabisaaaaa😍😍. Wana...
24 Reactions
225 Replies
3K Views
Kila nikipita kwenye mitandao kuanzia Instagram, Twitter ( X ), Facebook n.k kote huko kwa asilimia kubwa unakuta Picha au clip ya demu akionesha makalio bila aibu Sasa najiuliza ni matangazo au...
6 Reactions
54 Replies
1K Views
Nakumbuka miaka ya 90, hakukuwa na access sana na mitandao hasa hii ya kijamii, Hapa naongea kabla ya Facebook, kabla ya tweeter, JF, Badoo, instagram hata whatsapp, Najua wahenga walijua...
8 Reactions
165 Replies
12K Views
Wakuu, weekend hii naingia Mjini(Kariakoo).. nitakuwepo kama siku tatu hivi.. nahitaji Lodge Affordable inayo-range bei ya 20,000 - 30,000(Isizidi hapa) Nahitaji connection zenu wakuu ili...
3 Reactions
14 Replies
824 Views
Wakuu nimeamua kuileta hii habari kama thread sio story ya kutunga ni kweli ilinitokea kipindi cha nyuma kidogo miaka ya 2008. Ilishawahi kunitokea hiyo Kijijini aisee. Nimetoka zangu Dar nikaenda...
13 Reactions
29 Replies
1K Views
Tuliosoma vyuo vikuu vya mijini tukutane hapa. Wahenga wanasema ukizaliwa mjini tu basi wewe Form 6. Ukikulia mjini basi tayari upo University. Tuliosoma Vyuo Vikuu vya mjini kuna raha yake...
3 Reactions
8 Replies
428 Views
Ughonile.. Huu mtandao pamoja na kuwa naupenda ila kuna baadhi ya members wanaboa sana, unaweza kuingia humu kwa bashasha ila ukatoka na huzuni sababu ya members wachache vichwa panzi siku yako...
31 Reactions
157 Replies
4K Views
Ugumu WA maisha unafanya tuonekane hatuna mapenzi ya kweli
11 Reactions
38 Replies
789 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…