Eti baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani kutoa amri nikamatwe, Wazee wa Kigoma wametest mitambo kwenye mkutano wa CCM huko Buyungu ( utani huu bana, kimbunga ni jambo la sayansi sio utamaduni )...
Mchana nilitoa swali hapa wengi walijaribu ila hawakupatia ilivyotakiwa.
Hivyo zawadi ya Gb za kuperuzi internet mwez mzima nabaki nazo mwenyewe.
Qn1:
Mwili wa binaadamu umeundwa kwa Atoms 7...
Kichwa chajieleza, taja tabia mbaya ulowahi kuifanya ulipokuwa mtoto especially tulokaa/kulia uswahilini , naanza na Mimi TABIA YA KUMZOMEA ASUBUHI MTOTO MWENZENU KAMA NI KIKOJOZI ok tiririka nawe...
Dada huyu anaependelea kutumia formation ya viungo watatu katikati( verasidika,aggy masogange na sanchoka) 4-3-3 kawanyima sana usingizi ma bazazi,mafisi na wake zetu hapa mtaani...akipita lazima...
Nakumbuka miaka hiyo simu za nokia tochi zimeingia,nilikuwa napenda lile gemu la nyoka hasa pale umemeza vitufe vidogo halafu linaletwa lile kubwa basi unampigisha nyoka wako rivasi ya hatari ili...
Dear amu
I wish you all the best and that your days will be filled with favor and blessings. Kila unayoyapitia yachukulie kama blessings na yakujenge uzidi kuwa mtu mwema as you grow old!
me...
Ukiskia Wanaume wa Dar unaelewaje??
Mana wapo wanaume wanaishi Dar ila hawana hata mwezi(wametoka mkoani) au hana vitabia vya wakazi wa Dar. Je mana ya hili neno linaegemea malezi,tabia,muda wa...
Kuna jirani yangu ni bachala,hajaoa,ni mtumishi wa umma na amepanga nyumba ambayo ni ya mh hakimu fulani hapa mtaani
Katika hali ya ujana akaingia mahusiano na binti wa Hakimu,huyu binti ni...
Aman iwe nanyi wapendwa katika jukwaa
Nimekuwa nikisikia kwa mda mrefu sana hasa huu mwez jina la sister fey lakin sikujua huyu sister ni nan hapa mjin. Sasa leo ndo nikamua niingie chimbo...
Habari za majukumu wakubwa na wadogo..
Kama mada inavojieleza hapo juu.
Kama kawaida ukiwa umeolewa na serikali shuruti urushwe rushwe kama kama mpira wa mdako...
Kwa mara ya kwanza nilianza...
nlikuwa naongea na rafiki yangu uledi huyu ana watoto 5 kwa mke mmoja na wengine 3 kwa mke mwingine. Uledi analalamika maisha ni magumu haoni kitu cha kufanya. nlishtuka kidogo nikawaza na kuamua...
Iko hivi, uko ndani ya gari (daladala au hata basi!)
sasa pembeni yako akawa yupo jamaa, akakuuliza. "tumefika wapi hapa" wewe nae ili usionekane bwege, unamjibu "hapa ni ubungo"
siti ya mbele...
Nimejitahidi(mimi na ndugu zangu wa tumbo moja) kumfanyia mama yetu kila linalowezekana ili maisha yake ya utu uzima yawe ya furaha na yasio na changamoto nyingi za kimaisha kama ambavyo alikua...
Msanii alikiba msanii mkali wa muzik Tanzania anayeshindanishwa na diamond platinum ambaye kwa sasa inasemekana amesajiliwa na timu ya ligi kuu ya Tanzania kwa kuwa anakipaji cha mpira pia...
JIPATIE SIZON KWA BEI POA EPSODE 1 200TZS TUNAUZA KUANZIA EPSODE 5 TUNATUMA WHATSAPP KWA NJIA YA LINK KARIBU SEASON SINGLE MOVIE ZOTE ZIPOOOO KULA KITU MOJA HIO APOO UKIHITAJI NIONEE...