Achana na wazushi,wasio juu kunyuka pamba ,viwanja....
Wana talk pumba,, awajui ku shine wao uvaa za duka .....
Za kupauka,,, ndio wanazo vaa,, shopping twende tandika utapendeza ukivaa...
Kuna avatar ya member yeyote hapa jamvini usiyoipenda au hujisikii vizuri ukiiona?
Siyo utani, Avatar za hawa watu mimi sizikubali kabisa..
-Kichwa Kichafu
-Joseverest
Hebu weka usiyoikubali...
Uneshamuona njia kuu anapewa u monitor wa darasa? Au kujengewa nyumba. Nyumba ikijengwa ni ya familia na mume akipata matatizo inaweza iuzwe lakini Nani amekwambia nyumba ya mchepuko inauzwa ili...
JIPATIE SIZON KWA BEI POA EPSODE 1 200TZS TUNAUZA KUANZIA EPSODE 5 TUNATUMA WHATSAPP KWA NJIA YA LINK KARIBU SEASON SINGLE MOVIE ZOTE ZIPOOOO KULA KITU MOJA HIO APOO UKIHITAJI NIONEE...
Ni wiki ya pili sasa tangia tumemzika babu yetu mdogo, yaani baba yake mdogo mama yangu mzazi na namuomba Mwenyezi Mungu Amsamehe dhambi zake na amfanyie wepesi katika hesabu zake, na Amuweke...
Zamani nilipenda sana kula maharage. Harage zito lililoungwa na vitunguu vingii na hoho, nazi au maziwa. Nilikuwa nikijaza maharage kwenye sahani wali unakuwa tepetepe, basi nilikuwa napenda...
Bandugu mwaka mpya na mambo mapya.
Nataka njidhatiti na kujisajili kitengo cha ndoa jf sasa basi mwaka jana nlipata wachumba humu 2 katika hao wawili hawana sera mmoja nikambwaga live mwingi wa...
FAMILIA YA KIBA; MIEZI 3, NDOA 3

Ali Saleh Kiba na Mkewe
IKIWA zimebaki siku saba kufikia ndoa ya mwanadada Zabibu kiba ambaye ni dada wa mkali wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba, siri ya...
Mtoto wa 1: bachelor
Mtoto wa 2: Masters
Mtoto wa 3: Phd
Mtoto wa 4: Mwizi.
Jirani: kwanini usimfukuze huyo wa nne?
Baba: huyo ndo peke yake analeta pesa nyumbani hao wengine hawana kazi...
Habari zenu wanajukwaa natumai mpo poa, nami nipo vyema kiafya namshukuru Mungu siku imeenda vyema. Hadi Wikiendi hiyo imegonga hodi fasta, kama injini ya tumbo la kuendesha.
Lengo la kuileta...
"Tuma meseji hii kwa watu 20 kuna kitu
kizuri kitakutokea ndani ya siku 3
wengine walipuuza wakafukuzwa kazi na
kupata ajali mbaya
"
Sms za hivi huwa zinanikera
yaan Tumekuwa watu wa
kuishi...
Kama mada inavyojieleza
Nipo njiani kuja mjini Daslama kutokea huku nkoani
Masaa machache ntakua nishaingia mjini hapo
Nina muda sana sijakanyaga huo mji so najua kuna mabadiliko mengi Sana ya...
Hamjambo,mambo vipi,shkamooni,
Moja kwa moja kwenye #mada,eti katika #ndoa ukiwa na
#mawifi au #mashemenga au #wote kwa kwa pamoja watakao kufanya uanze kuona #ndoa tamu kama #mwarobaini kwa...
Mara nyingi katika jamii zetu kumekuwa na tabia ya watu kurushiana matusi la hasha tusio neno au jina la sehemu bali ni kutokana na tabia ya sehemu fulani kwa mfano;
1, Puru, tundu la kutolea...