KIJANA mmoja mtanashati aliingia kwenye hoteli moja kama mteja, akaomba aonane na bosi. Baada ya kuruhusiwa, mazungumzo yalikwenda kama hivi;
Mteja: Samahani, naomba kujua kama chumba namba 39...
Amani ya Bwana iwe pamoja nanyi.
As-salaam Alaikum! Kwa ule upande wa pili.
Kumekucha! Na shughuli za utafutaji wa chochote kitu unaendelea.
Kwa upande wangu nimeamka hali si shwari sana...
Dhumuni na lengo la kutaka vijana wa miaka 20 mpaka 29 tukutane hapa ni kutokana sisi vijana tuna mawazo tofauti na pia hatupishani sana kwenye mambo binafsi kwahiyo inaweza kuwa vyema tukikutana...
Habari zenu waungwana mabibie na mabuana,
Sina jipya zaidi ya kuwataarifa kuwa nakamilisha nusu mwezi tangia nijiunge THE HOME OF GREAT THINKERS.
Siku njema...
1. Wanaishi pamoja kwenye kasri kama extended family
2. Mtoto anakua ni mtoto tu kwa wazazi na hulelewa kwa uangalizi wa iana tofauti kuanzia
anapozaliwa hadi anapofariki kama mila za...
Siku hizi kamtindo ka kuonyeshana wazi mahusiano humu jf (aidha ya kweli au utani) kinazidi kupamba moto. Basi na nami kwa kuwawakilisha wale ambao kwa namna moja ama nyingine hutamani na wao wawe...
Ingekuwa vipi kama JF member wote wangetengewa mkoa wao pekee wa kuishi.
Nani ungetaka awe jirani yako?
Yupi ungependa awe kitengo fulani ambacho unahisi ingekuwa poa.
Ingekuwa vipi kama...
Buy IELTS certificate in uae
Real ielts certificate India| buy ielts certificate| original Ielts| Ielts band 7| Get toefl certificate| genuine ielts certificate| Get ielts online| Nebosh...
Jaman jaman wanaume wa sikuhizi ni michosho kwani wanakwama wap??
Si vijana si wazee wote wanataka starter yaan badala mwanamke ndo aandaliwee wao siku hizi ndo tunawaandaa mmekuwaje lakini...
Good evening ladies and gentlemen!
Bila ya shaka mmekuwa na ijumaa njema sana.
Siku ya leo kwa mujibu Wa ratiba yetu tunaye cocochanel .
Wengi mmekuwa na hamu naye
Na leo ndio siku muafaka...
Hey guys mko poa nyie......
Naanzisha uzi huu kwa ajili ya watu wa Kigoma pekeee. Kama unaishi kigoma au kwenu Kigoma lakini ukatoka basi tukutane hapaaaa!!!!!!
Kwa nia njema kabisa taja maeneo...
Mimi HANCE MTANASHATI au wengine wamezoea kuniita baba Tunda Sabasita, siku ya tarehe 06/08 ninatimiza miaka kadhaa hivyo basi nimeona mwaka huu niwaalike kidogo ndugu zangu wa JF kuna...
Husika na kichwa cha habari hapo juu Mimi ni kijana naomba kuwa katibu uenezi wa kuelimisha vijana nguvu kazi ndani ya chama kuwa puchu INA madhara yake na faida zake hivo inabidi wapige Mara...
Mwanaume kula chips mayai
Kunywa savana/wine ya St. Anna
Mwanaume kupenda/kuimba nyimbo za taarabu
Mwanaume kulipiwa bill na wanaume wenzake mezani.
Nimeona mkaka anakula chips mayai kanipa...