JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Leo Katika Pitapita Zangu Nakutana Nikapita Sehemu Kichocholoni Nikasikia Demu Flani Anamwambia Kidume Flani ***hivi Et, Niache Kumukubali Naniliii...... Bishooo! Nije Ku,kubali Wewe...
3 Reactions
100 Replies
5K Views
Hii nyimbo naipenda maneno yake miye na beats zake ikiimbwa yaani ntatikisika hata kidogo Natulia kama nanyolewa naipenda sana! Moyo wangu wapoaa ikipigwa yaani nalegea kabisaa!
10 Reactions
255 Replies
12K Views
No more words mwenye kapicha kake atupie japo tule kwa macho
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Mariam mamaye Yesu Alikuwa bikra aliolewa na Fundi seremala Lakini wewe hata sio Bikra unataka uolewe na Billionea Unawazimu?
1 Reactions
5 Replies
2K Views
1. Si wakweli hasa ikiwepo harufu ya pesa sehem, mwanamke yuko tiyari kumuita mwanaume wake kinyago, mjinga, mwanaume suruali kisa kaishiwa hela, wanaume wengi sana wamesaidia wanawake mpaka...
3 Reactions
26 Replies
5K Views
Kichwa cha habari chahusika kwangu mimi 1. Mwanamke kuvaa wigi 2. kupenda wanawake wenye makalio makubwa 3. Kushabikia timu za ulaya mpaka watu wanauana wakati haitatokea hata kwa bahati mbaya...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Wale wote tusio na magari ya kutembelea hapa mjini na mikoani tukutane hapa! Tuelezane changamoto na faida tuzipatazo tunapotumia public transport hususani daladala Kwangu mimi kero ni kujazana...
19 Reactions
242 Replies
13K Views
Kanavyoweka mdomo sasa kuukunja ,asubuhi tu mambo motoo ukifika usiku ni balaaa Sio ka Demiss kweli haka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
2 Reactions
111 Replies
5K Views
Kama kichwa cha habari kinavyo sema, I bet zadi ya members 97% humu ndani awajaweka na awataki kuweka avatar halisi humu, tatizo ni nini wana JF, naombeni mitazamo yenu,
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Ajabu la 8 la dunia? Yaan watu wamejiriwa job description yao ni Wrong Parking?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Moja kati ya michapio ambayo nimewahi kuisikia kutoka sehemu Mbalimbali huu ni Kiboko yao.... ...Kuna jamaa angu mmoja alikuwa na njaa sana asa ikabidi tuende kununua Kibanda cha chipsi,Me...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Hivi naandika huu Uzi kuna Mtu mmoja sasa nimemsindikiza kumpeleka kupata huduma ya Kwanza baada ya kupata Kipigo cha Shalubela / Hatari kutoka kwa Mtu ambaye alimtania na lile neno ambalo huwa...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu, Wengi tupo tunakua na mahangaiko ya kusaka pesa wakati huu wa mchana. Mimi mida kama hii nakua nimetoka lunch, napata kahawa na kashata au chai ya asali na mdalasini huku nikitafunia na...
1 Reactions
67 Replies
4K Views
Long time no see U guys... Husika na kichwa cha Uzi, inawezekana kuna mtu umempenda humu Jf lakini umeshindwa kumtoke kwa namna moja au nyingine, au labda kafunga PM yake. Basi kwa kutumia uzi...
8 Reactions
260 Replies
12K Views
  • Closed
Ilikua jumapili nikamuona rafaeli amekaa ni juu ya nini, ni juu ya baiskeli, namuliza anaenda wapi, kanambia anaenda feli huko feli ni kwanani, ni kwa lile jitu tapeli,,asa utamuona wapi atakua...
6 Reactions
20 Replies
8K Views
KAGERA NOGIMANYAGE? EZI NIZO HALMASHAURI N'ETARAFA AMO N'EKATA. EMANISPAA YA BUKOBA. Rwamishenye Bukoba,Ijuganyondo, Rwamishenye, Bilele, Nshambya, Buhembe, Kahororo, Kitendaguro...
2 Reactions
110 Replies
10K Views
Sitausahau mwaka 1967 Nina sababu tatu za kutousahau mwaka huo. Sababu ya kwanza ni kuwa kulitokea vita vya Kagera. Majeshi ya Iddi Amin aliyekuwa Rais wa Uganda yalivamia nchi yetu na kusababisha...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Wakati unasonga na miaka inakwenda, Hata katika Bible, Mhubiri anasema hivi: " kuna wakati uliowekwa kwa kila mtu hapa duniani, hata kuna wakati wa kila jambo chini ya Mbingu" "Kuna wakati wa...
1 Reactions
104 Replies
6K Views
Assalam ndugu Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu Ni vitu gani vinavyokufanya umchukie mtu haraka sana Mimi binafsi dharau na sifa za kijinga nikishakujua unadharau na sifa za kijinga huwa...
5 Reactions
113 Replies
5K Views
Pesa njooni kwangu, mnifuate na mnitumikie. Pesa njooni kwangu, njooni kwa wingi, tena mke Na wale wenzenu wa UK, USA Na Europe. Njooni kwa wingi mifukoni mwangu, kwenye account zangu Na Kila...
6 Reactions
19 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…