Ni aibu kubwa mwanaume wa 30+ una nguvu zako,huna ulemavu wowote,unautimamu wa ubongo, watoto wa shule wanaomba lift asubuhi unawasimamishia gari wanakuja mbio kupanda mara na limwanaume nalo...
Job Interview. MP
OFFICER:- What is your name?
Monday:- M.P. sir
OFFICER:- In full please
Monday:- Monday Paul
OFFICER:- Your father's name?
Monday:- M.P. sir
OFFICER:- What does that mean...
Aisee huyu jamaa huwa anatupatia malisho mazuri sana kwenye motivational tips zake kupitia facebook page yake ila kwa muda sasa Facebook page yake haipatikani hewani "kunani"?
docmaniac is an organization specialized in the acquisition of Ielts,toefl and gre certification.
We can provide original certificate for those of you, who for one reason or the other are unable...
Yani huwa nakereka kuongea na simu na mtu nisiyempenda unajua kwa sababu nimeshamweleza kila kitu lakini bado anazidi kuganda kama ruba huyu lazima nimfanyie unyamaaa unyamani tu.
Unakuta...
Comment Mwaka ulioanza na kumaliza shule ya msingi
Tuone ni wangap wanaofaa kupewa shikamoo,mambo na habari yko
me nimeanza 2004 kuhitmu 2009
N.B Heshima ni kwa wotee
Habari za saa hizi wapendwa?
Natumaini hamjambo na ni wazima kabisa kama mimi nilivyo mzima.
Waungwana kuna jambo ningependa kufafanuliwa kwanini wanawake wa humu wanapenda kufunga PM zao?
Maana...
Unaandika nyuzi halaf inakosa wachangiaji mnajisikiaje na mtu mwingine akiandika kidogo watu wamejaa kupost na uzi unatembea haswa ukitazama watu zaidi ya laki au zaidi washaufungua huo uzi...
Mimi ni mtumiaji wa vodacom kwa kipindi kirefu sana
Ila nilikua napenda,sana ofa wanazotoa,hasa ile ya kwako tu!!
Mwanzo walianza vizuri sana
Tsh2000=GB5
Tsh1000=GB2
Tsh500=mb600
Kwa wiki
Wakaja...
Wasalaam,
Naomba kuuliza ni wapi kuna migahawa inayohudumia Chakula cha kichina jijini Dar es salaam. Yaani Chakula cha kichina kiwe kweli kile cha Wachina haswaa, yaani kiwe kimepikwa kwa mapishi...
The heading above is concerned.
Najua ktk interactions zetu humu jf, kuna comments ambazo ulishawah kukutana nazo na zikakuchekesha na kukufurahisha sana..
Em tiririka na sisi tupate furaha...
Wanaume huwa mnaamini mwanamke mwenye muonekano fulani hawezi kuwa na wewe. Kwa mfano mwenye kazi nzuri kukuzidi au mwenye mvuto unaohisi wewe humfai. Mnachokosea ni kwamba mwanamke akikupenda...