JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu, Km heading inavyojieleza. Ndo umepata chance ya kumfananisha member wa jf na mnyama unaempenda au usiyempenda.. Utamfananisha nani? Na kwanini? Kwa upande wangu, mimi namfananisha Hajar...
5 Reactions
172 Replies
7K Views
Jamani kwa wale wote wanaohitaji mikopo kipindi hiki cha Ramadhan hadi Eidd na wako serious please Inbox me ili tuonane na tuone namna ya kukupatia. Binafsi nina mikopo kibao haina kazi...
0 Reactions
8 Replies
818 Views
KABLA YA KUPATA UNACHOKITAKA PENDA KWANZA ULICHONACHO Huko zamani nilihitaji sana muda ufike ii nitoke sasa kwa wazazi ii niishi peke yangu ambapo nitakuwa na mkee na ntaanzisha familia yangu...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wanasema dont take life too seriously, u will never get out of it alive.. Live healthy life, focus on positive things, life will always be simple if u dont complicate. Happy birthday to me...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Huu mwaka Katoka Lulu Katoka papii Katoka sugu Katoka NGUZA v Katoka mtani wangu wa Jadi Simba SC ACHENI MUNGU AITWE MUNGU Wanna Yanga tuna Gundu
1 Reactions
12 Replies
954 Views
Yes Naaam kama wewe umesoma Html na Css computer language njoo tuunde company tupige hela HTML na Css ni nini? Html na Css kwaujumla ni Computer language ambazo zinahusika na ku,desgn web...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wakuu... Nieende moja kwa moja , kama kichwa kinavyosema hapo.Leo nimepita hapa Mikumi. Katika kushangaa shangaa nikakumbuka bwana mmoja wa JF. Huyu bwana @K4life na story zake nyingi za...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
me naanza na hii "baby amini taishi na wewe MILELE* eti MILELE kwa dunia ipi hyo ya kuishi nae MILELE tusidanganyane jamani Weka na yako twende sawa
3 Reactions
102 Replies
7K Views
Appointment 12:00 nakuja 13:20 ndio naoga 15:50 navaa nguo 17:40 ndio natoka 18:30 nipo kwenye bajaji 19:20 babe sitakuja Mama ameniambia niwapikie wageni wanakuja...
9 Reactions
70 Replies
3K Views
Kiukweli hapa nawakilisha KE/ME tulio hatuna viburudisho,, tunapata wivu pale mnapoanza kuoneshana mahaba ktk status zenu,, kiukweli tunabaki kujichekesha tu ktk status zenu,,, tupotupo tuu...
19 Reactions
710 Replies
31K Views
Duu
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Eti wapenzi wenu huwa wanaweka nini...Nimeshawahi kukutana na couple moja eti mwanaume kabeba kimkoba na mwanamke kabeba pia....!! U Gentlemen unaanza kupotea sasa hapa nani atambebea mwenzie...
1 Reactions
133 Replies
15K Views
Huenda kwenye bunge letu kuna wabunge ni wana karate ndo maana wana kolomeana [emoji2] [emoji2] [emoji2]
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama heading inavyojieleza ukija tu Pale Miembeni (PM) kama wewe Ni Ke chap unapata buku la vocha. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Nipo Tanga maeneo ya Lushoto kwa Wasambaa huku! nasikia mwezi huu(may) katikati itaingia Ramadhan, karibu kila nyumba kuna mwali watu ni mwendo wa kula ubwabwa kuna nini kati ya Ramadhan na kuoa?
0 Reactions
4 Replies
952 Views
Habari za leo wakuu, Jana nilikuwa nasafiri kutoka dodoma kuja dar, nilikuwa nimepata lifti kwa rafiki yangu na tulikuwa wawili tu, njiani tumbo likaanza kunisokota, nilijitahidi kuvumilia...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Mi nilikuwa naonaga baadhi ya wanawake hawana matak☆nikadhani ni wanawake tuu ndo walivyoumbwa kumbe hata wanaume wapo yaani nimejikuta naangalia hadi nikasababisha foleni nyuma maana nilikuwa na...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Ni mida ya hatari sana! Saa 8 za usiku unapita Maeneo furani unakutana na genge la paka kama hao kwenye picha... Alafu kuko kimya njiani uko wewe peke yako na hao nyau, alafu kufumba na kufumbua...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwanini lakini! Kwa mdada nzuri kwa sura. Mrembo mtanashati unakuja kutokwa na kitambi. Tatizo ni nini? Noma sana kwa kweli mdada kuwa na kitambi!
1 Reactions
128 Replies
8K Views
Happy mothers day kwa wamama na wanawake wote ulimwenguni!! Dear my Sweet Mother from heaven, najua sikupata nafasi ya kukushukuru kwa kunileta duniani (ulinitoka nikiwa mdogo sana) lakini...
11 Reactions
60 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…