JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hawa Magereza (PRISONS) watu wa ajabu sana, wamemwachia SUGU kisha wakamfunga YANGA.:D
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu,,, Msistuke kusikia Magufuli [emoji16][emoji16]ni jina la kijana wa mtaani kabisa.. Aiseeh kuna wakaka wawili maeneo ya supa Masaki,wote ni watu wa kanda ya kaskazini..huyo...
5 Reactions
49 Replies
4K Views
Nauliza "Wale WANAMAZINGAOMBWE" waliokua wanageuza MAKARATASI kuwa HELA tukiwa PRIMARY SCHOOL wapo Wapi? Huu ndio Muda Sahihi sasa nina RIM PAPER Kama 3 ivi .
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu huyu mtu ni mda mrefu sana amepotea hapa jamvini, nnamashaka wasiojulikana wasije kua tayari wamefanya yao. Story za Gala kwa kiwango kikubwa zilikua zinanisaidia kupunguza stress...
1 Reactions
7 Replies
724 Views
Nimesahau cm
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Happy birthday to me
0 Reactions
4 Replies
634 Views
Leo ni kumbukizi ya siku niliyozaliwa miaka kadhaa iliyopita siku kama ya leo nilizaliwa ... Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia kuishi miaka yote hiyo .. Nawashukuru wazazi wangu kwa kunilea...
3 Reactions
7 Replies
778 Views
Namshukuru Mungu leo tar 9/5 nimetimiza miaka 33 kamili wengi wamepotea kabla hawajafika huku na walikua na ndoto nyingi,wote ambao tumefika huku tukiwa na afya njema tuungane kumshukuru Mungu...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Haya ni mambo ya zamani. Kisasa tunasema kila mtu na demu wake, embu tukumbushane maneno ya zamani yenye kutia ladha
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii tabia ya watu wakipanda ndege wanajifanya wao ni wao, wanabadili lugha na kuongea kiingereza na kujifanya ni wataalamu wa ndege kwa kuelezea ndege inavyoruka, inavyokimbia na cha kumchukua za...
4 Reactions
49 Replies
3K Views
Ndugu wanajamvi, leo ni siku yangu ya kuzaliwa! ni siku ya kipekee kabisa kwani ni tarehe 25 June,siku ya jumatatu jioni Mama WA-UKENYENGE ndipo alipoweza kunitambulisha hapa duniani. Ahsanteni...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Marafiki nawatakia uckumwema Mungu alinde na giza nene
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nawaza tu kwa sauti. Habari za mida hii wadau. Poleni na hongereni kwa majukumu mbalimbali kukabiliana na hali. Nimewaza tu uwepo wa gbJf app inayokupa uwezo mbalimbali kulinganisha na jf app ya...
1 Reactions
10 Replies
725 Views
Kapigwa wali jaa mchuzi juu.. Kama na wewe wa kuja ukisikia wali jaa mchuzi juu usile ondoka nasema usileeeee..[emoji12]
0 Reactions
4 Replies
676 Views
Sijui ni kwenye Thread zangu tu au na Zenu pia? Yaani hata Thread iwe Nzuri na Inatrend Vizuri kuna baadhi ya Members yaani wakichangia tu hapohapo na Uzi una Buma. Yaani Uzi unakosa...
10 Reactions
220 Replies
9K Views
1. Ufyudhi (angalia avator yake ucheke mpaka uanguke) 2. Nichumu nibebike 3. Kibanga ampinga mkoloni 4. Mlinzi mfu 5. Pilipili kichaa 6. 900 inapendeza zaidi 7. Mgeni wa MUNGU TUPIA MENGINE
1 Reactions
164 Replies
8K Views
Natiririka na hii Mada kidogo Unakuta midume kabisa unapiga picture na kuanza kuiediti na kuweka madoido. huu ni ushamba au ulimbukeni mnatafuta uziri au? mingine unakuta inatumia kabisa switie...
5 Reactions
82 Replies
5K Views
Nimepita kwenye social network moja nikakuta tangazo la muhaya akitafuta mpenzi..Anasema " Naitwa Mulokozi Batakyanga...Nipo Kamachumu likizo lakini huwa naishi na kufanya kazi zangu jijini...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hellow bosess! Dha.. siku nikifikisa staff 1000+ na zaidi nitahisi furaha na amani sana napenda sana watu wengi tufanikiwe na tukamilishe mipango yetu. moja kati ya malengo yangu ni kuwa na staff...
0 Reactions
10 Replies
813 Views
UNAJUA YA KWAMBA…. 1.Kitu kizuri kupita vyote ni: UPENDO 2.Kitu rahisi sana kuliko vyote ni: KUDANGANYIKA 3.Zawadi kubwa kuliko zote ni: KUSAMEHE 4.Ajali kubwa kuliko zote ni: KUKATA TAMAA 5.Kitu...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…