Kuna katabia kimezuka kwenu nyinyi.
Wanawake kuwanyimma unyumba waume zenu, mnawazaga nini mpaka inafikia huko?
Utakuta mumeo umpi mbunye wiki mbili au mwezi nzima unategemea nini mwanamke...
habr wana jamvi
hii inatukumbusha mbali sana watk tukiwa
darasani kila darasa lilikua na watu kama hawa
mchoraji
wapenzi
sister du wa darasa
waimbaji
joni kisomo
manunda
watoro
wambea...
Unakuta mwanamke yuko on her 20's ila anavaa kama mwanamke wa 60's. Jijali, jiweke smart. Sio lazima utumie vitu vya gharama uonekane mzuri. Tumia resources ulizonazo kujiweka vizuri. Achana na...
nilisikia na ninaendelea kusikia kuwa wanaume wenye upara huwa waaminifu sana kwenye Mahusiano.
Nami sasa nimeamua kunyoa kipara nione pengine Nitakuwa muaminifu.
MNIOMBEE(in mkulu voice)
RATIBA YA WANAUME WA DAR W/KEND
1.Asubuhi-Chai na soseji moja na yai la kuchemsha
Baada ya chai anaangalia tamthiliya ya kifilipino[emoji2][emoji2][emoji2]
2.Mchana-Chips mayai na mayonaiza na...
Umelala usinguzi, halafu ukaota mtu anakuuliza,
unahisi 1500,000,000,000/= zitakua zimetumika kufanyia nini?
Mfano Mimi ntamjibu; kwa kuwa nimesikia matumizi yake hayajulikani, basi zitakua...
Binafsi huwa napenda mno kuwatembelea Marafiki zangu Majumbani mwao ambao wengi wao huwa wana Watoto wadogo na kizuri zaidi ni kwamba huwa nina bahati mno ya ‘ Kupendwa ‘ na Watoto wao na hata...
Kwa nilikuwa nawaza niandike kwa lugha ipi ??niliandika kiingereza nikafuta nikawaza niandike kwa kiswahili kuna yule dada anakosoaga..ila hatimaye nilitumia lugha yetu pendwa ya kiswahili...
Jana nilikuwa na babu tukawa tunapiga stori za hapa na pale,, hii kauli imeniacha mdomo wazi, "sisi wanaume ni punda mjukuu wangu" nkahoji kwa nini unasema ivo?
mwanamke ukisha mzarisha tu upendo...
Wanaume wa mkoa mpooooooooo????
Mna TV lakini???
mtakuwa mmepata kuona kama si kusikia mafuriko kwa RC.., hayo ndo matokeo ya zile chipsi tunazokula.
Nyie endeleeni kulima viazi huko mtuletee...
Wapendwa habari za masiku,
Naomba niseme na baadhi ya wanamume,
Jaman kuna baaadhi ya wanaume wa siku hizi hawajui kushake well ,mmekuwaje?? Mtu unaenda kukojoaa kwann usituliee umalize mkojo...
Nina dv3 ya 23
C-physics
C-biology
D-chemistry
C-geograph
C-history
D-mathe
C-civcs
D-kswahl
D-english
yawezekana kuchaguliwa advance f5 PCB kwa shule za serikal ikiwa chemistry Nina D
Ndugu zangu wanaume wenzangu tunaoishi na kufanya shughuli zetu hapa Dar, sasa hivi tumekuwa tunashambuliwa mno mitandaoni na watu wa mikoani hasa wanaume wenzetu wanaoishi mikoani na pia hata...
Maisha mfupi haya kuanza kuingilia maugomvi ya watu usoyajua hata yalipoanzia na wewe kuchukua nafasi ya kugombana na mwingine. Waache wanaogombana wagombane wenyewe maana siku wakipatana utabaki...