JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
salam. Nimekaa hapa kitandani mida hii huku nikiwa na peruzi peruzi kidgo humu ndani.....mara ghafla nashangaa taa inazma yenyewe na umeme upo. nikainuka taratibu mpaka kwenye switch...
5 Reactions
87 Replies
6K Views
Yani mzee mzima nakumbuka niling'oa mtoto mmoja wa uswaz mwenzangu kwa ajili ya hii kitu. Sasa kuna siku nilifunga goli 20 peke yangu yani.....huku vipaji vingi sana vimepotea huku...yote ni kwa...
33 Reactions
331 Replies
18K Views
hii Kenyan news active Kenyans ni few sana but wana lamisha lolo watz ambao ni majority. Hivi ndio kina mulisa,kadoda,geza ulole,ichoboy,annael,mkikuyu etc....wana LAMBA LOLO .
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Nakumbuka nilikuwa nikirusha picha ya Ulimwengu watu wanatamani kufa wanatoa povu jamani kama mtu haumfikii kwa physical appearance si unanyamaza tu mbona hata sisi kina Agness wametuzid maumbo na...
4 Reactions
133 Replies
5K Views
Gafla mchupi wa Nandy huu hapa ujatulia vizuri mara Diamond huku nywele original kule wigi hujakaa vizuri unasikia trilioni 1.5 gafla Kiba katuletea chombe kutoka Mombasa hujatulia unamsikia mzee...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau Naona ili kusapoti muziki wetu basi tuwekeane hapa lyrics/mashairi/beti/maneno ya nyimbo mbalimbali maarufu za kiswahili za sasa na za zamani.Na kwa wale wasanii wa miziki walioko JF kama...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hali ngumu ki uhalisia,pesa kupatikana imekuwa kama Ukungu wa asubuhi,poa bwana,tutavuka tu
0 Reactions
1 Replies
943 Views
Atakuja nyoka kila baada ya kipindi cha swala. kama husali anakudonoa na machungu yake inauma zaidi ya miaka Kaburi litakubana kama hutakuwa mtu mwema KWA WAUMINI WA KIKIRISTO NA WASIO NA...
0 Reactions
54 Replies
11K Views
Nakusisitiza kaka angu.....kitanda hakizai haramu na nafurahi na wewe umekua katika msimamo thabiti kabisa.
0 Reactions
82 Replies
4K Views
..Hiyo Internet ya Ofisini unavyoikomoa, umefungua blogs zote kwa mpigo, YouTube, Skype, Twitter, Facebook na Unadownload Videos! Wakati boss wako siku nzima amefungua emails tu. Basi ndio hivyo...
7 Reactions
11 Replies
2K Views
Ngoja kwanza nishushe darasa, ili dhamira yetu ieleweke vema zaidi. 'No offence' kwa wanawake wetu wa kibongo. Hakika ni warembo sana kimwili na kitabia. Lakini kwa mustakabali wa kimaendeleo...
3 Reactions
8 Replies
819 Views
Ifuatayo ni idadi ya wana JamiiForums wenye English nzuri na karibia wote hakuna hata mmoja ambaye ni made in Lumumba. 1.Rutashubanyuma 2.Kiranga 3.Nyani ngabu 4.My Son drink water 5.Mshana Jr...
4 Reactions
46 Replies
3K Views
Tumeambiwa haijaibwa ni kwamba haijulikani tu ilipo. Labda siku wakifanya usafi BoT wanaweza kuikuta chini ya kabati..
6 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakiwa wanaandika kwa mbwembwe na kupangilia maneno mzuri,au kutukana au kujigamba na kujitanua vyema,huku wameweka avatar nzuri na za kuvutia ,basi utafikiria unakutana na docta ulimwenguafe...
26 Reactions
838 Replies
32K Views
Amini usiamini hii hela kuna watu wameibetia,wakiamini kuwa ndani ya mwaka mmoja wangeweza kurudisha hiyo hela na kupata faida Chezea mhindi,hiyo hela imeisha ingia mfukoni kwake,sasa wanasiasa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojiekeza hyo picha ina maana gani humu JamiiForums anaefaham please anifafanulie zaidi.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Aman iwe nanyi wapendwa Kuna mshikaji mmoja alienda kusoma chuo kikuu mda akiwa chuo kikuu mimi nilikuwa mdogo sana hivyo nilibaki namuona kama binadam mwenye akili sana maana nilikuwa sijui...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Kama ni wa chuo taja jina na chuo alichosom. Kama ni sec tuone ni shule gani mtoto huyo alisoma. Viongozi wote kuanzia Rais, mawazili, wabunge na MKUU WA MAJESHI(CDF) Majibu ndio yatasaidia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mambo, mi ni ke,ukweli wenyewe ni huu KWA MPENZ AU MCHUMBA AU MKE/MUME umpendaye kwa dhati kiharufu fulan cha mwili wake ni kizuri balaa.Hata kama atatoa nguo special zifuliwe hutochoka kuziweka...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Uliwahi kujiuliza kwa nini ATM machine hutoa kadi kwanza halafu pesa huja baada ya kadi? Walotengeneza ATM wanajua hulka za binadamu! Kwamba binadamu akipata anachotaka anasepaaaa.... hakumbuki...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…