Habari wana bodi leo mida ya saa 1 nmeokota takriban sh laki mbili na elfu 20 mitaa ya hapa msimbaz kwakuwa mm ni mwislam safi sitaki kuitumia mpk niitangaze akikosekana mwenyewe naitumbua...
Hivi juzi niliopoa mtoto wa 1st year chuo. Miaka 20. Mimi nina 30+.
Tumekutana kufanya yetu, nimeshangaa sana ananiambia niweke yote wakat tyari nimeingiza mpaka mwisho.
Nimekuwa nikukutana na...
wazazi wengi wa kipato cha kati walipeleka na wanazidi kupeleka watoto wao katika shule za huyu mzee,
huu uzi upo kukumbushana kwa wale tuliopita kwenye shule za huyu mzee, kwani tupo maelfu...
Kwa kipindi chote cha maisha yangu nimegegeda mwanamke mmoja tu kwa kifupi mimi sijui kutongoza ila roho yangu ipo kwa wahindi, waarabu na wazungu nikikutana nao mi hoi ila kutongoza siju hata...
Kilaa nikijiunga kifurushi cha nyota kinaisha nikibonyeza reli haiwezekani nimependa pesa tu.
Sasa jioni mvua zinanyesha nimemwambia maindi ni mengi sasa kinachomliza ni nini jamni? Sijapenda...
Chui ni hatari sana!
Nilikiwa naangalia channel moja inaitwa NAT GEO WILD.Chui alidumbukia majini kama samaki akapambana na mamba na kumtoa nje akammaliza fasta!
Chui ni hatari kuliko mamba!
Salamu sana wanandugu?
JF ni Jumuiya kubwa sana! JF imekusanya watu wa nasaba mbali mbali! JF imebeba watu wa hadhi na rika mbali mbali! JF imebeba marafiki wa kweli, wa dhati, JF ina mpaka...
Huyu Judith wangu aliwahi kunisaliti akakamata ujauzito wa mwanaume mmoja wa Mwanza anayefahamika kwa jina la Ale. Akautoa kwa siri ila nikamshtukia. Hayo yote ni baada ya kuwa nipo masomoni ila...
God created the donkey
and said to him.
"You will be a donkey. You will work un-tiringly from sunrise to sunset carrying burdens on your back. You will eat grass,
you will have no intelligence...
Nimehudhuria Nyumba takribani Nne ( 4 ) kwa ' Maakuli ' lakini cha Kushangaza kwa mwaka huu ' Mapilau ' yote niliyoyapakuwa sijakuta hata ' Nyama ' na nikaja ' kubahatisha ' katika ' Pilau ' la...
Amani iwe Pamoja Nanyi!
Navutiwa sana na Jinsi Aspirin alivo na sky eclat , Smart911 alivyo na Mahondaw na pia wengine wengi ambao siwezi kuzijua couple zao!
Kwa kuvutiwa huko nami nimeona ni...
Binafsi huwa nakubali sana michango ya huyu jamaa hapa jukwaani.
Ukiachilia mbali kasi ya JF kupoteza ma-great thinkers wake wa zamani kama kina Kiranga , Mkandara na wengineo, hili la kupotea The...