JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
mwenyezi mungu kupitia maagizo yake ametuagiza kufanya kazi, ili maisha yetu ya kila siku yasonge unapofanya kazi kwa bidii anakupa neema(mafanikio)sasa hapa ndipo panapowashinda wanadamu wengi...
1 Reactions
1 Replies
759 Views
Tuliopo Mlimani City muda huu kwenye tuzo za cinema zetu tusalimiane wakuu. Niko upande wa VIP niko na black gauni na wadada wengine watatu wamevaa blue jeans wana vyura fulaaani.
8 Reactions
213 Replies
12K Views
Wakati mwingine tunafanya mambo tukidhani tunasolve matatizo, kumbe tunajiongezea Utamaduni huu umezoeleka miongoni mwetu kama sehemu ya maisha, lakini mimi nauita ushamba. Ikitokea mtu anatoka...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Habar wakuu, Leo ndo tarehe 2/4/2018 Je Q400 yetu imeshafika??? Anaejua jamani.
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Hivi ni nani?
3 Reactions
173 Replies
25K Views
Daahhh miss chaga popote ulipo nimekumiss sana. Ingawa hatupo kimwili lakini kiroho nakukumbuka sana. Michango yako matata na vibonzo vyako vimekosekana sana humu. Upatapo ujumbe huu tafadhali...
1 Reactions
5 Replies
636 Views
natumai wazima wa afya,..ndugu zangu mnaotumia jamii forum kwanza naomba msinichoke kabisa kwa sababu haya maagizo niliyopewa namoyo wangu kupitia mkono ambao umeandika yafike hapa pahala...
4 Reactions
88 Replies
4K Views
Hali zenu wapendwa? Alfajiri tumemkamata mwizi wa majumbani, kabla ya kumuadhibu nikataka kujua ni wapi wanapozipata dawa za kupulizia watu madirishani mpaka wanapoteza fahamu. Sikuamini jibu...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Natoa pendekezo hapa kwa wana jf mliomo humu tuanzishe mchakato wa uongozi kama vyuo vikuu, Tff, au hata Nchi, yaani kuwe na rais,makamu,waziri mkuu,waziri wa ulinzi nk.mimi naanza kumpendekeza...
3 Reactions
58 Replies
3K Views
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam wana Chit Chat! Natumai popote mlipo Pasaka yenu imeenda na inaendelea kwenda vizuri. Nichukue fursa hii kuwakaribisheni jikoni kwetu [mimi na Kisura....daddy-daughter tag team]. Leo bi...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Tafakari hii !! Demu: baby nikwambie kitu... Boy: Ee kitu gani hicho baby? Demu: Baby nina njaa mwenzako yan!! Boy: sasa nifanye darling ? Demu: Baby fanya mchakato wa hela ya chakula...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wanajamvi, katika harakati za kutafuta fulsa nimeiona fulsa katika biashara ya saluni. nimefuatilia biashara hii kwa muda mrefu nimeona kuna maeneo wateja bado hawajafikiwa, sasa sijajua...
0 Reactions
6 Replies
686 Views
Kama ilivyo siku nzuri kabisa ya leo imefika, tunamshukuru Allah katupa neema kote dunia sisi tulio wazima wa afya. Ifahamike kuwa siku ya leo tunaazimisha siku, ya kufufuka Bwana wetu, Kristo...
0 Reactions
14 Replies
820 Views
3 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari za mchana wa kuu? Natumauni nyote ni wazima wa afya baada ya kukaa kimya na kutafakari ukazaji wa vyuma hapa kwa MAGUFULI nikaona kwajiri ya kuliwazana nije na huu uzi Lengo kuu la huu...
0 Reactions
40 Replies
2K Views
Hii sio sawa, Huyu Bnt ni rafiki wa kitambo sana, mara nyingi amekuwa akiomba game tukumbushie ya ujana ila kulingana na majukumu ilishindikana Sasa wiki jana nilimwambia nko Mwz akafurahi kuwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
On a scale of 1 - 10, matumizi yako ya condom/kinga yakoje?
8 Reactions
165 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…