JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kwanza niwatakie siku njema wakuu. Nimejaribu kuwaza kwa sauti siku mimi mapipando nitakapo ondoka dunia hii ni nani atajua humu ndani? Kweli tunafahamiana juu kwa juu,tunataniana, tunapeana...
2 Reactions
49 Replies
3K Views
Namshukuru Mungu siku hii ya leo kwa kunifikisha miaka kadhaa Tangu kuzaliwa kwangu. Naamini kwa Neema zake atanifanya niiishi miaka mingi Mpaka kuiona ile nchi ya Ahadi aliyowahaidi wana wa...
5 Reactions
33 Replies
73K Views
Ijumaa kwa wafanyakazi wengi ni siku ya furaha na wengine wakaibatiza furah day (friday). nikimtizama usoni Somboko namwona kama ni mtu mwenye huzuni. binafsi sipendi kuingilia mambo ya watu...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
*Nimesaidia mdada mmoja kubeba dum zake za,maji hadi floor ya nne huko* *Then ananambie ety yaache hapo,hapo,nje Boyfriend wangu atayaingiza ndani* *Saivi nipo nayarudisha chini* *Spendagi...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Sipendi kuwa taja au kuwatag ili wajijue lakin na hakika wengi mnawajua wao kila uzi wamo utaona anaandika rubbish, mara nyambafu mpk unaanza jiuliza nimemkosea nn mpka anatoa maneno ya kashfa...
20 Reactions
147 Replies
7K Views
Hivi mnakumbuka hawa wadudu fuku fuku jaman tulikuwa tunawaweka kwenye maziwa kipindi tupo wadogo ili tukikuwa maziwa yawe makubwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pembeni ya nyumba yetu...
33 Reactions
533 Replies
35K Views
Hello ndugu , Mimi ni mmoja wa asili ya kabila hili but nimekuliaa sehememu tofauti ambapo hawazungumzi hii lugha na hua na tamani sana kujua kuongea lugha yangu ambayo ni asili ya ukoo wangu...
0 Reactions
0 Replies
764 Views
za siku nyingi nyote mliopo humu jamani! leteni stori kwani kijijini kumenifanya niwe mbali na taarifa zote muhimu karibuni
0 Reactions
2 Replies
807 Views
Ukiona mwanamke ana mimba...........?
0 Reactions
45 Replies
11K Views
Kutoka kanda maalumu ya Ushindi wa wanaume wa mikoani tumepata taarifa ya kusikitisha kuhusu hawa wanaume-wanawake wa dar! Walianza miwa kuwa wanamenyewa nakukatiwa vipande vipande ili watafune...
14 Reactions
87 Replies
9K Views
Nimeshindwa kabisa kabisa kuachana na hii 'materials' pendwa duniani kote! Moshi wataalamu sana wa kutengeneza na kula kitimoto. Ukiwa Moshi tembelea Minjas Pub Majengo. Kiboloroni. Msonge...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Habari ndugu/ jamaa wa jf! Leo nimeshtushwa na baadhi ya response toka kwa wana jf ambao sijui tuseme ni makusudi kwa kudhamiria au bahati mbaya, wamekuwa na tabia ambayo inanipa mashaka...
1 Reactions
38 Replies
2K Views
NETWORK INAPOSUMBUA Halaf msichana unayempenda kupita maelezo Anakuambia hivi.. GIRL: do u love me BOY: sana tu!(messege failed) GIRL:sas c unijbu jaman Boy:nakupendaa(messege failed) GIRL:mbn...
2 Reactions
5 Replies
885 Views
Nikiwa kama Mtanzania ambaye nimewahi ama kupata bahati sana ya kutembelea karibu 98% ya Mikoa iliyopo nchini Tanzania nimegundua ya kwamba kuna Mikoa ambayo ukibahatika tu kuitembelea na kama...
5 Reactions
56 Replies
7K Views
Nguo inauzwa shilingi elfu 10,000 wewe huna pesa, ukaamua kukopa kwa dada yako sh. 5,000 na kwa kaka sh. 5,000 ukapata elfu 10,000. Ukaenda kugalaliza na kununua kwa sh. 9,700 ukarudishiwa sh...
0 Reactions
385 Replies
93K Views
Wakuu. mwanaume wa mjini , akiwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa ndani ya vazi matata la ufukweni.
1 Reactions
20 Replies
8K Views
Bandeko , wale tulioishi DR Congo tukutane hapa , pia eleza maeneo uliyofika/ishi. nitaaza mimi, Nimeishi Goma, nikafika Beni, Butembo, Mbuyimayi, Uvira, Kirumba, Kayina, Rubero Bukavu na...
3 Reactions
33 Replies
8K Views
[emoji23][emoji23][emoji23]MAMBO YA MTANDAO[emoji23][emoji23][emoji23] MZEE moja alifika kijiji flani akakuta mtandao unashika vizuri. Akamwandikia mke wake sms aliyemwacha mjini. Bahati mbaya...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa maisha tunayoishi jf ya ufahari mkubwa Magari ya bei mbaya! Majumba ya kifahari Kazi nzuri nzuri Mavazi ya kifahari Jf hakuna aliyepanga chumba kimoja labda Nyumba nzima kodi 3 millions...
30 Reactions
343 Replies
23K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…