JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hata uwe na HARAKA vp huwezi kuomba lifti gari la TAKA!
12 Reactions
346 Replies
133K Views
Faiza foxy uko wapi mama? Mara ya mwisho kumsifia asiyejal(r)ibiwa ni Nivomba 2015
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwa uzoefu nliopata toka kwa jamaa mbali mbali na mimi pia kushuhudia katika pita pita huko mitaani nmegundua mambo kadhaa katika makabila haya. 1. Wenyeji wa singida. Hawa toka wakiwa watoto...
6 Reactions
35 Replies
7K Views
Habari zenu wanajukwaa. Niende kwenye mada moja kwa moja. Mimi nina mwili wa wastani, sio bonge wala sio kimbaumbau. Ila nina kitambi fulani hivi, sio kikubwa sana ila kinanikera sana kuwa nacho...
7 Reactions
51 Replies
6K Views
Declaration of interest.Mimi ni handsome boy,sina kitambi Yaani Nina mwili wa mazoezi.Kuna baadhi wa warembo humu waliwahi kuomba picha zangu nikawatumia so wanaweza thibitisha hili. Hivi...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Mkiachwa mnalia. Mkivishwa pete mnalia. Kwenye tendo la ndoa mnalia. Mwezini mnalia. Kuzaa mnalia. Ukipewa zawadi kubwa unalia. HEBU LEO MTUSAIDIE TATIZO LENU NI NINI HASA TUWATATULIE MOJA...
0 Reactions
5 Replies
871 Views
Jamani kama kuna mtu kazaliwa tarehe ya leo hum JF basi namkaribisha, aje huku tufungue Dompo tupate na vyuku. Karibuni sana.
0 Reactions
0 Replies
669 Views
Habari, Kwanza haina gharama,mambo ya kulipia lodge,chakula,vinywaji,nauli,mara wigi,sijui kusuka,shangazi kafiwa na mtoto wa mjomba wake hivyo inatakiwa mchango nk nk Pili unamtafuna mtu yeyeto...
6 Reactions
76 Replies
8K Views
Mimi hapa donlucchese, baba yangu ni me..la, mama yangu ni ma...na, baby wangu ni ...... nshajieleza mamaa. ..
0 Reactions
46 Replies
3K Views
jana jioni nimetoka ofisini late kidogo tupo moja ya majengo machache marefu sana hapa DSM. basi nimeingia kwenye lift ghorofa ya pili kutoka juu ndani nikamkuta dada mmoja mrembo hasa.ile lift...
19 Reactions
109 Replies
7K Views
gubu, ujuaji, visilani, zarau, wagomvi -izo ni baadhi ya tabia zenu siwachukii ila ukweli lazima niwambie
14 Reactions
155 Replies
45K Views
Uko wapi mjukuu wa kisandu? nimemis post zako zisizo na mbele wala nyuma. Nilisikia mamwela walikunyaka... ni kweli? sema na wewe punguzaga matusi aisee
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Nampenda ... Namuamin... Namuheshimu has a katika kugawa ridhiki na maaamuzi Yeye akiwa upande wangu nan aloe juu yangu???? Akiamua hakuna wakupinga hata ufanyaje.... #mungu pekee Rafiki...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
1. Simba vs Yanga 2. Diamond vs Alikiba 3.Messi vs Ronaldo 4.Nyumba kwanza vs Gari kwanza 5.Ujasiriamali vs kuajiriwa 6.Rayvanny vs Aslay 9.Maua Sama vs Nandy 10.wowowo vs kimbaombao Ni...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Salaaam Wapendwa nahitaji kufungua account ya you tube kwa faida Mean wanavo weza nufaika wengine kupitia huko Tatizo sijui procedure za kufuata na kuimiliki pamoja na garama zake. Kwa anae...
0 Reactions
7 Replies
604 Views
0 Reactions
17 Replies
862 Views
Leo roho yangu inaniambia kabisa kwamba nimtaje na najua kama nikimtaja basi atakuwa ni mwenye furaha isiyo ya kifani kwani ama hakika ' Kupendwa ' na ' Purely Talented, Charismatic Fella and a...
4 Reactions
499 Replies
20K Views
Hawa jamaa tunawapaga faida sana , halafu hawakumbukagi kabisa kurudisha fadhila kwa wateja wao. Sasa njia ni nyepesi , Ukinywa wiki siku ya nane unalamba za bure. Njooni tupeane namna ya...
5 Reactions
81 Replies
6K Views
Upambaji gani huu kama kazi uiwezi Si uiache kuliko kuvamia fani msizozielewa...matokeo yake mnawananga. Na kuwaharibu wenzenu na kuwafanya Kama vinyago vya mpapule kwa kweli, mimi ndio...
2 Reactions
111 Replies
13K Views
Wasalaam. Kumekuwa na kawaida sana kwamba watoto wadogo wakiniona wananiangalia sanaaaaa. Halafu baadae wanaanza kucheka kweli kweli. Hadi wazazi wao wanaanza kushangaa maana huwa hawachekagi...
21 Reactions
156 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…