JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
*Mtu sahihi* -Anaamka saa 11 alfajiri kila siku. -Anafanya mazoezi -Anatandika kitanda chake -Anasafisha chumba chumba chake -Anafanya kazi kwa bidii -Hanywi pombe -Anasaidia kazi za jikoni...
7 Reactions
68 Replies
4K Views
Usiku wa leo nimeota nipo Uwanjani nafanya mazoezi ya kukimbia Na kurukaruka na mazoezi ya viungo Na Erasto Nyoni, sijui SIMBA au AZAM wana mpango wa kunisajili, nikawe streaker wao nikawafungie...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Npo far age 27 natafuta marafiki wa kupga nao story awe anajua kiufasaha kiswahili na english
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Embu tupia hapa jina/Majina ya movie kalii ambay/zo unazikubalii hata uangalie mara ngapi huchoki kuzitazama. Me naanza na hizi.. 1.3idiot 2.kongfu hustler
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kichwa cha habari chajieleza. Wiki inayofata nategemea kuwepo Dar nikitoka safari yangu ya hapa na pale. Kwa hiyo nimeona si vyema kufika hapo halafu nisiwashirikishe na nyinyi. Ninaemuhitaji awe...
0 Reactions
43 Replies
2K Views
Wakuu nipo hapa nakula balimi ndogo, sikuwa najua ni tamu kiasi hiki na bei yake ni reasonable
3 Reactions
32 Replies
4K Views
1.Ndevu mzuzu Ndevu hizi wanazo wanaume wengi wanaoishi uswahilini. Mara nyingi wenye ndevu hizi hupendelea sana kwenda kwenye "MINUSO" wanakula sana ubwabwa na pia kwenye vijiwe vya kahawa...
19 Reactions
154 Replies
34K Views
Hivi serikali ikibaka nayenyewe inafungwa..?
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Asallam nimeshtushwa na Habari toka mkoani Sumbawanga juu ya uwindaji na ulaji wa panya pori. Akizungumza katika mkutano wa hadhara mkuu wa mkoa wa Sumbawanga ndugu Joachim Wangabo amemuagiza mkuu...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
salaam, hii ni kwa wale wote waishio mikoa ya kusin kusin....kwa kina kamwene,mwagona,ughonile,mwakata,mapembelo.....nk.tufahamiane jaman.Tafadhali. Iz mambo za kuwa na mpenz from mbeya to kigoma...
6 Reactions
460 Replies
32K Views
Mmmmmmhhh kuna mkaka huwa nawasiliana nae ,anasoma nchi za watu sasa yupo likizo,huwa ananitafuta sana na sasa ananisisitiza tukaishi wote Dar,mi kiukweli na Dar mbali mbali lile joto...
6 Reactions
97 Replies
6K Views
ahsalam,,,,,,, kwenu leo nimekuja ninalo linalo nitatiza sana jaman eti kua na marafiki wengi kwenye mitandao ya kijamii kuna ondoa ushirikiano wako na wale wengine walioko mtaani kwako au...
0 Reactions
50 Replies
2K Views
Familia moja walifurahi sana kupata mtoto. Lakini majonzi yalianza pale walipogundua siku zinaenda lakini mtoto hawezi kutamka neno lolote, mtoto alizaliwa bubu.Siku moja ghafla wakasikia anasema...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Sijui Pana ukweli hapa!
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Mwanasheria mmoja alifanya mapenzi na mchepuko wake kwenye gari lake, basi yule msichana alifurahia sana lile tendo kiasi kwamba akasahau nguo yake ya ndani kwenye gari. Yule mwanasheria alipofika...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Leo nimeamka tu na hii nyimbo kichani,kuicheki nikavutiwa sana na hii misambwanda kwenye hii video. Nitajieni majina ya hawa ma-models niwatafute ss hv, kwa maana uvumilivu umenishinda....kuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1.Wanapendwa sana na wanawake 2.Hujiamini 3.Wanatabasamu nzuri 4.They are aggressive
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ewe mwanamke mwenzangu! Ewe mama,ewe binti,ewe kigori, Ukiona Weekend imeanza,Ijumaa usiku hivi,jumamosi kama leo na kesho mpenzi wako yupo bussy tu,ujue huyo ni 'mpenzi wenu'!. Yani inawezekana...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Hi Wana jf ninatoa maoni yangu naomba tushauliane kidogo ,hivi kuna uhalali Gani kwa sisi wenye vipara kulipa ela sawa na wenye nywele kamili namaanisha kichwa kizima tena tukienda saloni...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Imekuwa kawaida sana siku hizi ukiingia kwenye post kukuta karibia kula aliecomment Uzi kuwa na title ya jf expert member, Hiki cheo ndicho cha juu ukiachana na vile vyeo vya kulipia ama vile vya...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…