JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kwenu wana jf.....marafiki niwapendao sana kwa vile uwepo wetu kwa pamoja ndio unofanya jf... iwe active... Ni marafiki ndio japo kuwa hatujuani ...hatufahamiani...lakini tunaelewana tena...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwani kutafsiri kiingereza kwenda kiswahili ni ngumu? Ah wapi, jamaa aliona ni simpo tu. Angalia alivyotafsiri. Kiingereza: Zimbabwe’s main opposition leader, Morgan Tsvangirai, has died aged 65...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Teacher: How old is your father? Kid: He is 6 years. Teacher: What? How is this possible? Kid: He became father only when I was born. (Logic!! Children are quick and always...
2 Reactions
1 Replies
788 Views
Nimemda dukani kwa mangi nimenunua sabuni ya 500 nadai mfuko ananiambia kitu cha 500 nikufungie kwenye mfuko, ingekuwa 1000 labda nikarudisha sabuni nikasema nipe vocha ya 1000 alivonipa nikadai...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Zijue aina nne za michepuko: 1. MCHEPUKO LAMI Huu ni ule ambao hauombi Pesa, katulia hana mapepe, uwe naye au usiwe naye maisha yake yanaendelea tu. 2. MCHEPUKO VUMBI Huu ni ule wa vibomu...
3 Reactions
177 Replies
27K Views
Salute, Binafsi sijawahi kwea pipa, so kuna maswali najiulizaga sana, hivi mtu akiwa angani na ndege huwa wanaona kila kitu kilichoko chini? Kwenye basi huwa tunaona sana vitu vilivyopo...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Habari wana JF, Nimekua nikikereka sana ninapokwenda bar na kupata usumbufu na kukereka sana. Yaani mchana najipigia bia zangu lakini inzi kibao nakua nina kazi ya kupepelea mikono kuwafukuza...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
0 Reactions
1 Replies
608 Views
Aman iwe nanyi wakuu wa jukwaa Kama kichwa cha habar kinavyosomoka hapo juu Lagos nigeria. Kijana mmoja khamis mohamed amefariki dunia siku ya wapendanao baada kufanya mapenz kwa njia ya mkono...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Dah! Jamani hali imekua ngumu sana.
0 Reactions
1 Replies
839 Views
Salam wote. Kuna taarifa kuwa asilimia kuwa asilimia kubwa ya wanaume wa ukanda wa mwanza hasa Geita hawajafanyiwa tohara. Utafiti unasema kuwa, tohara inapunguza maambukizi ya HIV kwa 60%...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Ebu Tuambiane ukweli katika hili please!! Upo home unaishi na wazazi pamoja na dada yako, sasa dem wako anakwambia bwana nataka nije kwenu alafu ukicheki home msala kwa wazazi sasa unampanga...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wamama/wadada mpo ???? Leo nataka kusema na nyinyi kidogo sana Hivi kipindi wewe ni msichana unatembea na mume wa mtu unasababisha ile familia inalala njaa ,,watoto wanakosa ada,, mke anaonekana...
5 Reactions
70 Replies
3K Views
Dereva wa Dk Shika ameshikwa kwa kuzidisha speed eneo la Tinde kule Kahama. Yeye asema faini ya elfu 30 ni ndogo sana.Elfu 90 itapendeza sana.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nilifungua ule uzi wa kuwasimanga kama kawaida yenu mnavyotusimanga wanawake wa jf,,wengine mapovu ya uhakika halaf hata nguo chafu sina,niliyaoga tu hakuna namna. Siku hiyo kuna mwanaume...
17 Reactions
939 Replies
51K Views
My husband, thank you for being there for me, you always make me feel special. Our imperfections make us perfect for each other. I love you Asprin and Happy Valentine 2018 from Sky Eclat your wife.
18 Reactions
241 Replies
9K Views
Hawa jamaa wa bodaboda akikubeba wanakuongelesha,Halafu husikii kwa sababu ya upepo..unabakia kuitikia eeeh eeh ,ndio ndioo* *Unaeza jikuta umekubali kuolewa hivi hiv bila kujijua...Nikupeleleke...
17 Reactions
114 Replies
5K Views
Natamani kuwa na huyu mwanaume kwenye siku ya valentine day,aniambie popote alipo ntamfata kwa gharama zangu,ananikosha sana nyonga zangu,simmalizi nikimfikiria, niitieni anitoe hamu nataka...
3 Reactions
80 Replies
5K Views
Nikwambie kitu (hasa msg) (unapotaka kupigwa mwiba) Hivi unanipenda kweli? Unampango gani na mimi? Kama kuna nyingine ongeza
2 Reactions
39 Replies
5K Views
SAA 12 asubuhi. BABA;- baba, unaamka sasa hivi au unalala lala kidogo.. MTOTO;- Hapana baba nimechoka ntaamka saa 5 jana nilichelewa kulala nilikua naangalia PRISON BREAK season 5, kumbe michael...
9 Reactions
17 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…