Jamani eeeh,ukiona sura ya huyu dada inabidi mumuepuke
Ana majina mengi kweli mitandaoni ,muda mwengine anajiita Anna Charles ,muda mwengine Lucy shayo ,muda mwengine Angel Francis,Grace Dominic...
Baada ya kuwa na msimu mzuri wa interviews,napenda kuwajulisha kuanzia hivi punde nitakuwa na host members wawili au zaidi tukizungumzia historia zao na kumbukumbu za kusisimua kuhusu maisha kwa...
Salute,
Kuna kitu nakiwazaga sana lakini sipati majibu.
Ndege inatumia mafuta gani ?, nilisikia wengine wakisema zinatumia mafuta ya taa. Kwahiyo jibu kamili sijapata.
Wenye kujua watufahamishe.
Nilikuwa ndani ya hiace, tukawa tumesimama kwenye mataa round about, nilikuwa seat ya mwisho dirishani, ghafla kutazama mbele kidogo pembezoni mwa barabara, kulikuwa na elf 2, ndani ya hice watu...
Daaah, been waiting for this day ever. Kesho kwa mara ya kwanza, mjengoni ikulu tena ana kwa ana na mh. Mr president nikitunukiwa kamisheni, kweli kila jambo na wakati wake. I wish ningewaalika...
Akiwa amesindikizwa na mkewe Jaqueline mzee Mengi anajivunia ujio wa passport zetu. Wale wa majuu ni kweli passport yetu ina Shonda ya Uingereza?
Tunaweza juwashinda kwa passport lakini wenzetu...
Unamtandika mtoto konzi ya maana, anaanza kulia kwa sauti unanunua biskuti unampatia, alaf unamuuliza, ni nani amekupiga, anamtaja mtu mwingine tofauti na wewe...hivyo ndo rushwa ilianza Africa...
Jamaa kaamka asubuhi, kavaa track suit na kumuamsha mkewe!
MUME: Amka twende jogging mke wangu? [emoji4]
MKE: Alaaa kwa hiyo una maana mi tipwatipwa?[emoji19]
MUME: Hapana si hivyo jogging ni...
Tulikua kwenye gari watu
kibao hadi wengine
mlangoni gari likasimama
kituo kimoja kulikua
kuna bibi anataka
kupanda
Konda- bibi twende siti
kibao hata utalala
Bibi - oooh sawa
mjukuu
Konda -...
Wana-wa- Bodi mapema leo katika pekuapekua yangu ya nyaraka kadhaa za Jeiefu, nikakutana na mafile kadhaa.
Ndanimwe kulikua na file zenye title ya SIASA, HABARI MCHANGANYIKO n.k .
Ili mradi...
Wagumu,
Baada ya takribani miaka minne ya uvumilivu na kujitenga nimerejea hapa jukwaani tuendelee kujadiliana na kupashana habari zenye tija kwa nchi yetu. Miaka minne hii niliitumia kwa mambo...
Huyu mzee nadhani anaishi mbezi beach au maeneo ya huko along bagamoyo road. Sasa akina siye tuendelee kujificha chini ya ujinga wa Magu kabana wakati wenzio wanamiliki vyuma vya maana kama hiki...
Leo asubuhi nawahi zangu kwenye majukumu ya kila siku nimekumbwa na balaa.
Nilipokuwa napanda katika daladala ghafla suruali ikaachia(ikatatuka) kuanzia usawa wa maungio ya miguu mpaka usawa zip...
Wale watu wa kusini tukutane hapa sio kiukabila lakini lengo ni kufahamishana vituko vya kila mtu atokapo...
Mimi natoka nachingwea mjini. Zamani tulikuwa tunaenda kuogelea bwawani kwa Nammwela...
kuvurugwa ni pale mnapokuwa wengi kwenye usafiri mnapata ajali alafu unakufa peke yako wakuu inakera sana unaweza hata ukajinyonga aisee..:(:(:(
;);););)NDO NIMETOKA...