Natumaini hamjambo wote ...
Kila kukicha majukumu yanaongezeka na ndiyo maana nimekaa kipindi kirefu sionekani hapa sebureni ... nimewamiss sana marafiki zangu wa JF lakini kikubwa zaidi ni kwamba...
Mwezi huu wa pili mwaka huu 2018 utakuwa ni mwema kwa wafanyakazi hasa mwishoni mwa mwezi. Hali itakuwa nzuri sana.
Tuingie kwenye maombi MUNGU atusaidie.
Hapa utapata vichekesho vya mkude simba kwa kadiri nitakavyokuwa navipata sio mbaya kama nawe unavyo tukashare pamoja
*********UPDATE******
VICHEKESHO VILIVYOONGEZWA NI VITATU VYA CHINI (kuanzia...
mama leo kaamka akaniambia nipige deki me bila hiyana nikachukua lungu lililikuwa stoo nikaanza kupiga deki ya TV sasa ndo kaludi mda huu naona amechukua karatasi anapga mahesabu yake nahisi...
Naam!
Ni rasmi kabisa kuwa, Joseverest na Khantwe wapo ktk penzi moto moto hapa jamvini.
Couple hii ni changa kabisa iliyochipukia hivi karibuni ktk uzi huu Kama hawa wangetengeneza couple hapa...
et kwenye dirisha lao la usajiri nackia wanataka kumsajiri kiungo TRUMP ili aweze kuongeza mashumbulizi mbele katika mechi zao sasa cjui itakuwaje
CHA KIBITI...
Huyu kaka yeye kaamua kabisa kusema Mama Sabrina unasifia wengine tu hata mimi je hata sisi wa jf tusifie sio Docta ulimwengu tu,nikasema sina hiyana mie ,sina upendeleo
Ngoja mumuone akiona picha...
jamani wakuu nimesikia kuna nyimbo mpya ya Man Fongo na Chriss Brown nani anayo anitumie fasta maana kuna sherehe hapa jiran yangu kutoka kwa Mr Bob anaiulizia sana
hiv kwanini watu wapendanao wanapenda sana kuitana majina mazuri ya kimapenzi kwa kiingereza kama vile my honey,my sweet,my watermelon,my torch, kwani haya yakisemwa kwa kiswahili si nimazur tu...
SIMULIZI FUPI: SIMAMA
IMEANDIKWA NA: George Iron Mosenya
CONT: 0655 727325
$TAFADHALI soma ujifunze!! (Ukiitaka katika SAUTI nicheki whatsapp 0655 727325)
HALI ya maisha ilikuwa imekataa kuwa...
Mwanajeshi akifa husindikizwa kwa mizinga au bunduki, Mashekhe husindikizwa kwa Dua nzito, Je kuna ubaya gani mwalimu akasindikizwa kwa viboko? JEE WAZO HILI UNALIONAJE? tunaamuaje hapa wakuu?