JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
*Huu ndo ule msimu wa .... hata kijiko kikianguka tu utaskia ndo maana umefeli* [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
2 Reactions
2 Replies
832 Views
*Kuna dada kaandika status...... Alichonipa mungu binadamu hawez kukiondoa.....* *nkamuuliza kwa upole tu bikra yako unayo???????*[emoji40] Sasa hv namtumia text haziendi cjui itakua mtandao...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni huzuni na tumeachwa yatima baba zetu wamewekwa kizuizini. Ni wivu tu wa hawa wenzetu [emoji2] [emoji2] [emoji2]
6 Reactions
56 Replies
6K Views
Katika kitu nachokipenda katika maisha yangu ni kusafiri asee,yaani kwenda mahali tofauti na pale nilipopazoea au ninapokaa. Safari yangu ya kwanza ilikua ni kutoka Mtwara kwenda Mbeya Tukuyu kwa...
8 Reactions
161 Replies
10K Views
Dah....... Tafiti zimefanyika ndani ya bongo na wabongo juu ya akili zetu....matokeo kila mmoja anayajua.... Rais Trump hapitishi siku mbili bila kutupa makavu live juu ya akili zetu..... Hii yote...
0 Reactions
3 Replies
652 Views
Rafiki yangu mmoja nilimkopa Laki Sita May 2017. Alikuwa nje ya mji na mkewe akapata emergency, akihitaji hiyo pesa. Kwa kuthamini urafiki wetu, nilimtumia fasta, na elfu kumi juu ya ''kutolea''...
34 Reactions
174 Replies
10K Views
Naam Kama kichwa kinavyoeleza... Kama zilivyostarehe nyingine ktk mwili wa binadamu mfano kula, kunywa sex nk, je kwenda haja kubwa(kunya) au haja ndogo (kukojoa) nayo ni starehe ktk mwili wa...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Aisee nilikua nachat na x wangu abt our lives baada ya kauchana,ni mda mref sana,like 6yrs ago,.sasa yeye maswal kwangu mi meng sana,mara enhee hik mara kile,..sasa mwisho wa siku anauliza kwahyo...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
*Uchawii sio kushika Tunguli tu na kwenda kuwanga..........[emoji250]* *Kukaa online bila hata salam nayo ni UCHAWII[emoji35]* *Kusoma msg za watu wanavyochat na Profile nao ni UCHAWII[emoji51]*...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Salaam wana jamvi! Wajuzi wanasema kua yuaone. Kama tunavyohua mabachela watafutaji hususani wanao anza maisha wengi wetu tuliotokea kwenye familia dhaifu kiuchumi tunaanzia kwenye ghetto ndo...
12 Reactions
80 Replies
10K Views
Kuna msemo mmoja naupenda mno...'hakuna aijuae kesho yake' au wengine wanasema "kipele hakimpati mkunaji"...wengi tulikuwa na dream ya kazi ama kitu tunachopenda kifanya kwa ajil maisha yetu...
0 Reactions
2 Replies
621 Views
Jamani zinazo kiki weka hapa
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari Zenu Wana Jamvi Kwa Hapa Dar Kuna Baadhi ya Maeneo yani Mwezi hauwezi Ukapta haujashuhudia Ajali yaweza Kuwa Kwa Uzembe Au Emergency Mojawapo Ni hili la Kuanzia Kiluvya Gogoni Pale Kuna...
0 Reactions
13 Replies
966 Views
Salute Comrades.. Wakuu Najua nyote mnapenda jf sana na hamtamani kukosa hata siku moja hapa Jf.. Lakini hakuna kinachouma kama kupigwa ban humu jf, Hua inatesa kama Alosto.. Hivyo baasi Kutokana...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Wazazi wangu walikuwa wakinikataza kushirikiana, kucheza na baadhi ya watoto wenzangu Sikuwa msikilizaji nzuri wakati huo. Nilijiambia hawa Ndio marafiki zangu Nikiwa darasa la Saba rafiki...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Methali ipi kati ya hizi inafaa kutiliwa maanani katika shughuli zetu za kila siku. Subira yavuta heri vs Ngoja ngoja huumiza matumbo. Maoni yenu wakuu.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Miaka miwili hii ukilala gest kuna utulivu sana tofauti na hapo nyuma kelele za wadada au wanawake zilikuwa kubwa sana wanapoingia na wanaume wao. Hiyo screaming ilikuwa hatari....
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…