JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
*BARUA KWA WANAUME WOTE NCHINI[emoji394][emoji404]* *Yafuatayo ni baadhi ya mambo ambayo wanaume mnatakiwa mjirekebishe 2018* 1) *Utakuta mwanaume anasafisha chumba mara 7 kwa wiki* _hayo ndiyo...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wadau, Ninafikiria sana swala la kuhama Tanzania na kwenda kuishi nchi nyingine mimi pamoja na watoto wangu.Nimefikiria sana nchi za kwenda na moja nilifikiri nchi za scandinavia,Canada,au USA...
1 Reactions
3 Replies
910 Views
1: Smart911 vs Mahounda 2: The Bold vs Niffah 3: 4: 5: Na ni kama wameweka Mgomo baridi...!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Zikiwa zimebaki siku chache kuufanya mwaka 2017 ubaki story. Leo napenda kuwakaribisha hapa kumtafuta mrembo wa JF wa mwaka huu. Tunajua wapo wengi ila wanazidiana. Hapa...
4 Reactions
101 Replies
5K Views
Heey! nauza majeneza used kwa bei nafuu sawa na bure kabisa karibuni wote
0 Reactions
4 Replies
878 Views
Hello!, Kama kichwa rungu hapo juu kinavyotanabahi kama wew ulijifunza baiskeli kwa mtindo unaoonekana pichani hapo chini tafwadhali 2018 oa/olewa na utoke kwenu usiwa-parasite wazee wako...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Watu Vijijini wapo bize sana Mwaka mzima wanalisha mbuzi, kondoo, ng'ombe, kuku, bata, njiwa majani na maji na wewe upo mjini Mwaka mzima unalisha mademu chips kuku, Mishikaki, pizza na bugger...
1 Reactions
4 Replies
671 Views
Habari za usiku huu wadau: Nimeshatandika milk stout kadhaa na kichwa changu kiko mahali pake,kabla sijalala wacha niwachangamshe wadau wangu wakeshaji juu ya suala la nafsi,NAFSI ILIYOFARAKANA...
1 Reactions
2 Replies
705 Views
Hello friends. Nakutakieni mwaka mpya (2018) mwema, na ninamuomba Mungu atufikishe salama. Nawapenda woooote ndugu zangu wa www.jamiiforums.com na hasa wana wa chit chat
0 Reactions
3 Replies
903 Views
A alaykum to all muslim na wale wenzentu wa imani tofauti na yangu tumsifu Yesu Kristo. Leo Jumapili tulivu nataka nitoe kijistori kidogo kinachohusu mahusiano yangu. Nilianza mahusiano na...
15 Reactions
254 Replies
31K Views
*KUBAKI NA HELA ZA MWAKA HUU MPAKA MWAKANI NI UOGA*
2 Reactions
5 Replies
2K Views
[emoji121] UMOJA WA _MASELA NNYA_ AFRIKA MASHARIKI (UMOMANNYA) TAMKO KUTOKA UMOMANNYA JUU YA MAMBO MATANO MUHIMU KUYADUMISHA PINDI MWAKA UTAPOPINDUKA. SISI KAMA UONGOZI WA UMOJA HUU TUNAWATAKA...
0 Reactions
3 Replies
546 Views
Wadau Tunakaribia kufunga mwaka wa 2017 na tunajiandaa kuukaribisha mwaka wa 2018. Naomba niwasilishe orodha ya watu walionikera sana mwaka 2017. Niseme tu kuwa watu hao siwachukii ila...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Wanajamii kweli nimeamini dunia imevaa gunia! jana mida ya mchana kweupe mishale ya saa6 nakatiza round about ya arusha-dar iliyopo mjini kati mo town. basi bana mi sina hili wala lile hata...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kaka yangu kanyambia.. "Nimeshuhudia na kupatwa na hili janga, my boy sura kachukuwa yangu, miguu ya mama yake! Grrrrrr! Nimekereka sana aise... Wanaume wenzangu je imewakumba hili janga pia"??!!!
1 Reactions
72 Replies
5K Views
Watu wameshamaliza vijisenti. Wamevikwangua kwangu hii wiki moja iliyoisha. Watanzania wengi wanalalamika sana. Maisha magumu kila kona! Si maofisini si vibandani si magulioni si bodaboda si...
1 Reactions
3 Replies
775 Views
Mzalamo alitangaza anatibu magonjwa yoooote kwa tsh 100'000 pekeee na kama akishindwa kukutibu anakurudishia laki yako anaongeza chajuu inakuwa 200'000 Mchaga akajisemea hii ndo fursa ya kupiga...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Niko Mbagala nakwambia nakuja kukuchukua huko Bonyokwa lakini nafika Bonnyokwa bado unanigandisha saa nzima unavaa? Mnavaa kabati zima? Shubamitiiiii
18 Reactions
128 Replies
7K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu Msanii wa kizazi kipya BEIRA BABY BOY ambaye yuko chin ya uongoz wa MOBETTO MUSIC Pia ni mwana jamiforum...
4 Reactions
124 Replies
44K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…