*Nachojua mimi Pesa Zote Ni Za Jamhuri Ya Muungano Wa Wa Tanzania*, *asa Unaponiambia Nikutumie Pesa Ya Christmass*, *Unanipa Wakati Mgumu, Bila Shaka Hizi Zitakua Noti Mpya.....:*...
Jamani eeeh, kama kuna mtu anahitaji kujumuika na ndugu, jamaa na marafiki katika msimu huu wa sikukuu asinisahau na mimi.
#kataa_kuwa_kaa
#uzalendo_ni_kupeana_mialiko
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Iv kwanini wanaume wa dar huwa wanapenda kuvaa nguo za kubana mapaja kama za dada zao wana tatizo gan
Kwanini...
Ulimi ni kiungo kidogo ambacho hutusaidia kumezea chakula pia hutusaidia kutamka maneno na kuwa na mawasiliano na viumbe wengine.
Ulimi ni kiungo cha muhimu sana. Ni gate kati ya yaliyo moyoni...
Ni moja ya siku ambazo sitazisahau maishani mwangu. Kwa mara ya kwanza niliveshwa pingu katika maisha yangu na kuswekwa rumande. Nimexperience jail life for first time na...
Zikiwa zimebaki siku 8 kuumaliza mwaka 2017 na kuukaribisha 2018. Tushirikishane uzi zilizo kufunza mambo mengi nakukufanya uwe na ahaaa moments katika maisha ya 2017.
Baathi a nyuzi zilizo ni...
Stress ni pale mgeni anapokutembelea mgeni geto alafu wakati huo ndani unaakiba ya miatano unaamua kuchukua chupa mbili za soda moja unanunua Cocacola dukani af nyingine ya sprite unaweka maji ili...
Baada ya rais kusema kuwa kwa wananchi wa Mtwara vyuma vimelegea kwa kuwa wanafanya kazi mashambani na kuvuna korosho na hatimae kuiuza na kupata pesa nyingi kiasi cha kuwanywesha mbuzi bia...
Mkuu wa mkoa wa Dar yuko safarini nchini China kutafutacwawekezaji. Mkuu huyo ni mgeni rasmi wa balozi Kairuki na anapewa heshima zote. Waziri wa viwanda majukumu yake ni nini kama mkuu wa mkoa...
Katika ibada ya jumapili iliyokuwa inafanyika kwenye kanisa la EFATA Nabii na mtume mwingira aliporomosha matusi ya nguvu kwenye ibada hiyo kwa watu wote wanaokwenda Loliondo na waandishi wa...
JF itakuja kuwa ni mtandao utakao ongoza kuwa na member wengi wenye.
1; HIV
2; Ndoa zisizodumu.
3; walio telekeza familia.
4; wakaidi na wasio shaurika.
Hapa kuna wasomi wengi...
Wakuu kuna watu akili zao zinawatosha wenyewe tu, Yani kuna ndugu yangu hapa kapost picha yuko na madripu Hospital Facebook huku akiomba Aombewe huu ni ulimbukeni au? Kuna Wa mama wa makamo tu...
Jf wekeni wishes zenu kama ungekuwa president! Ingekuwaje?
Lakini twendeni ki chit chat itapendeza zaidi na usitumia neno "vyuma kukaza" by any means
Mimi ningekuwa rais watu wangesoma chekechea...