pombe tunakunywa kwa starehe. ila kina mda matatizo. sasa kama mimi siwezi lala bila kugida. nipolewa nitaona mpk marehemu wachawi misitu na wanyama wakutisha.tuambie yako
Kwa mliokuwa kanisan siku yajumapili naona mh mmja ameshawajuza kilichoendelea anyway jf wajiiiiiiiiiiinga...waandishi wa habari wajiiiiiiiinga yaani akushia hapo...nanniiiiiiiiiinaooooooooo...
Mwaka huu umepita kama kivuli aseee mwaka umekuwa mfupi Sana matukio kibao dah ahsante mungu nimeupita salama naamin mwaka kesho nitafanya mengi makubwa mungu atakayonibariki.
Tar kama ya Leo...
Asubuhi hii nimeenda kununua vitafunwa vya kunywea Chai yaliyonifika si madogo kati kati ya kitafunwa nimekutana na nywele.Hapa nimekaa nawaza nywele hii ni nywele ya wapi kichwani,kwapani ,au ni...
Wakuu, Amani iwe nanyi!!
Nimekuwepo Kilimanjaro kuanzia mwanzoni mwa Mwezi huu wa December.
Na bahati nzuri nimeyaona maisha ya kijamii kabisa ya wachagga...
Nchi yetu raia wanalalamika sana kuwa...
Sasaivi kila kona mtaani na mtandaoni ukisema mambo magumu unaambiwa weka grisi weka grisi imekuwa habari mbadala wa vyuma kukaza sasa utaeza weka grisi kwa sehemu kama hii kweli??
Wadau nisaidie majibu tafadhari
1:Ni upi umri sahihi wa kutoka nyumbani kwa wazazi (Kwenda kujitegemea)...
2: Ni upi umri sahihi unaofaa na kupendeza ikiwa mtu anataka kufanya maamuzi ya KUOA...
Aman iwe nannyi wapendwa
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Mwaka ndo umesepa mazee hivyo hatuna bud kuuaga na kukaribisha mwaka mwingine mpya
Kama ilivyo kwa miaka mingine matukio...
Umofia kwenu jukwaani.
Niende kwenye mada hapo juu. Miaka ya nyuma alikuwepo mwanamama Hawa ambaye alikuwa dereva wa basi jijini Dar.
Anadaiwa kuwa mwanamke wa kwanza kuendesha basi la abiria...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosema hapo juu
naomba tumalize huu utata na tumalize ubishi kuhusu haya majiji makubwa mawili dunian yaan PARIS NA NEW YORK...
Naikumbukaga sana nickname yangu jaman enzi hizo nipo form 3 nilianza kujiita YOUNG SINGLE n FREE!(Y.S.F)lilivuma sanaaaa! had kwenye daftar la teacher zwazwa unaandika tu sema masomo ya teacher...
wakuu.
habari ya kwenu uzi huu ni maalumu leo tunakata mzizi wa fitna nani mchapa kazi kati ya wanaume wa Dar na wale wa mikoani maana kumekua na vijembe visivyoisha.
kila mmoja ataje mtazamo wake...
Kama utani vile. Mtu nimemtia ndani. Mm namwambia anilipe pesa yangu anasema vyuma vimekaza. Sasa hapo hapo ndo nikapata sababu ya kumtia ndani. Ataniambiaje mimi vyuma vimekaza ilhali mkulu katoa...
Habari ndio hiyo wanaume wanaotumia mtandao huu wa jf na facebook mnaongoza kwa uchovu na hali mbaya, hasaa hawa wa jf ndio kichefuchefu maneno mengi yamewajaa lakini mifuko imetoboka na mapenzi...
wakuu habarini,
kama kichwa cha habari hapo juu,nashawishika kuamini jiji LA dar limekaliwa kwa wingi na watu wa mikoa ya kaskazn,sababu zifuatazo
1_wakati huu wa x mass wenyej wa mikoa ya kaskzn...
Habari wanaMMU?
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa thread katika jukwaa hili japo sio sana lakini nimekuwa nikifuatilia comments na nyuzi za huyu dada tajwa hapo juu aisee kuna kitu kinaniambia...