Jamani hawa wasaidizi wetu wa ndani tunawapenda na tunawajali sana.yale maisha ya wasichana wa ndani kulazwa chini,kunyimwa msosi, kupigwa ,kutothaminiwa kwa kweli siku hizi yamepitwa na...
Habarini wana jamii forum, kama title inavojieleza.
Tukumbushane misala tuliyowahi kuifanya home halafu ikawa noma sana tukatamani mpaka ardhi ipasuke.
Binafsi nakumbuka misala miwili
Wa kwanza...
Kichwa Cha Habari KIMEJITOSHELEZA KULIKOTUKUKA. Kama Unajijua Kuwa Ulisoma SAUT Miaka Hiyo TAJWA Hapo Juu Tafadhali Jitokeze Hapa Kwa ID Yako Ya Humu JF Ili Tutambuane Na Tuweze Kutengeneza...
Habar wana JF
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo kiuweli nilipatwa na matatizo ya kuvamiwa na majambazi siku ya ijumaa.
Ilikuwa ni saa 5 usiku tukitokea sehemu Moja inaitwa Itigi kuja...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu
Ni juzi niliposikia kiu kubwa sana nami mfukon nilikuwa na sh mianne tu lakin bahat nzur nikaona sh mia iko chin hivyo...
Bwana katika kujibana kwangu katika maisha ya shule nilijibana mpaka shilingi 500,000 tu.
sasa hio pesa nilijibana ninunue simu, nikanunua hio simu sasa kumbe hio simu imefungiwa netwek apa tz...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Ilikuwa ni mwaka juz pale nilipo amua kutoka jimbo la caboligado na kuelekea beira mwisho wa siku niweze...
Kwa jinsi hali na mazingira ya shule pamoja na masomo ninayosoma nimeona bora niache masomo
Ili kulinda heshima yangu juu ya shule hii na maisha yangu kwa ujumla nimeona bora nifanye hivyo,pia...
Kesho saa 4 asubuhi nitakutana na waandishi wa habari ili kuwaeleza nia yangu ya kuhama UDSM na kuelekea Chuo cha VETA chang'ombe. Nimefanya uamuzi huu kuunga mkono juhudi za VETA, kuelekea uchumi...
Nilipijuwa mdogo kupanda maua ilikuwa hobby yangu. Wakati ule ni kuona maua hata yawe Chang'ombe au Keko nitafuatilia nipate mbegu.
Nilikuwa na collection ya maua ridi Meupe, pink na mekundu...
Vyuma vimekazwa na KUFURI
Halafu mkakosa SURUHU
kuvipata imekua MAJAALIWA
Hakika MNAKONDA
kiwanja katapeli MVUVI
kwenye uwanja wa mpira wamemwaga MAEMBE
Nasubiri ajira tangu ndege HAIRUKI
Bei ya...
Mimi Abdul Nondo,nina tangaza rasmi bila kulazimishwa namtu yeyote.
kuhama nyumbani na nimeamua kuhamia kwa jirani yetu baba Juma ,sababu maendeleo anayoyapata ndio yale ambayo tumekuwa...
Hi Marafiki,
Najua mpo bize na Escrow ila naomba muungane na mimi japo dakika chache kuadhimisha siku yangu ya kuzaliwa.
Namshukuru Mungu aliyenipa uhai hadi kufikia tarehe ya leo ambapo nnatimiza...
Jana mimi na my partners in crime tumekubaliana kimsingi kuwa hii kauli ya vyuma vimekaza ni overrated na kujifariji kwa watu tu!
Baada ya kuangalia Man Utd akimshughulikia kibonde wake wa kila...
Neno TABIA Ni Kifupisho Cha Maneno Tako Bidhaa Adimu....
Uzuri wa mwanamke sio sura ni tabia Na Kweli Wanaume Tunazingatia Hilo Ndo Maana Tukipishana na wanawake Njiani Ni Lazima Tugeuke...
Siku kama yaleo miaka mingi kidogo iliyopita wazazi,ndugu pamoja na jamaa zako walikua na furaha kukupokea kiumbe wewe na kukukaribisha kwa shamrashamra zote katika sayari hii dunia...
Umekua ni...
Waheshimiwa mabalozi wa maji yaletayo raha na burudani mwilini, naomba niwaulize swali, je ni kwanini pombe za kunywea nyumbani hazinogi hata lkama kuna marafiki, kitimoto na matusi juu?