JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
11 Reactions
65 Replies
13K Views
Kuna mijadala imekuwa ikiletwa humu JF kuhusiana na wanaume wa Dar.Lakini haijaeleweka Mwanaume wa Dar ni yupi hasa.wengine wanadai ni mwanaume yeyote anayeishi Dar.Wengine wanadai ni yule...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Nilianza shule ya Msingi nikiwa na 5 years! wewe je? Ila hata mlioanza ukubwani hamjatengwa; Itifaki imezingatiwa.
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Habarini ndugu zangu nina uvivu mkubwa sana muda unapofika wa kwenda chooni nawaza mara mbili naondokanaje na uvivu huu naweza kukaa siku mbili sijakata gogo Kwa ajili tu ya uvivu ushauri uuhusike...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimezaliwa mwezi na tarehe ya leo, miaka mingi kidogo iliopita,niliingia JF mwaka 2012,namshukuru Mungu kwa kuniweka hai mpaka siku hii ya leo,nafurahi kuwa JF na wana JF tukiendelea kupeana...
2 Reactions
18 Replies
949 Views
Kwema wanajamvi... Kama kichwa cha habari kinavyosema..naombeni kujuzwa
3 Reactions
123 Replies
12K Views
Kuna hyu msomi anaitwa Patrick lumbumba wa Kenya his he a genus? Maana kuna maneno anayaongea mpaka nashindwa kuaelewa yaan anaongea deep English sjapata kuona nadhan hadi wazungu kuna muda...
0 Reactions
0 Replies
283 Views
MAMBO YA WANASHERIA: Baada ya kumaliza Degree yake ya Sheria, Bwana Rwegashora aliamua kurudi nyumbani Bukoba mjini na kufung ua ofisi yake kwa ajili ya huduma kwa wateja. Siku moja akiwa ndani...
13 Reactions
14 Replies
4K Views
Nikakaa nikawaza nkicheki uku chitchat nyuzi zingine haziishi,ka ile ya kukoment afu unapata likes. , Af Beira boy naye anarusha na mwenzie hr666..(af hr yule afisa mikopo walimtumbua af cha ajabu...
0 Reactions
13 Replies
906 Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Juz palikuwa na tamasha la fiesta pale daresalama baada ta tamasha hilo kuzunguka mikoa karibia yote nchin tanzania Tamasha hilo lilianzia arusha na...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Wahenga wajanja sana walisema akiii ni nywele kila mtu anazake , huwakutaka kutufumbua zaidi maana mwlili una sehemu tofauti tofauti zenye nywele mfano pale , kule , pale na pale Sasa wewe kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa hali ilivyo aki twafwaaa! Baada sasa ya migomo kupungua kama sio kutoweka kabisa hususani kwa wafanyakazi wa serikali sasa naona mimea imetupokea adha hii ya migomo hapa naongelea miembe...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Mtu chini ya muembe anaangukiwa na dafu, au jambazi anaenda kuiba nyumbani kwa mtu, mlangoni anavua viatu...Ongeza na wewe ya kwako..!
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Mpige mtoto wa kitanzania ,kisha mbembeleze kwa kumpa biskuti ,akimaliza mwulize nani kakupiga atamtaja mtu mwingine hivi ndo rushwa ilivyoanza Tanzania
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Inakuwa kero na balaa ndani ya nyumba zetu, na amani inakuwa ndogo kati ya mume na mke, muda wowote mnakinukisha, na mashitaka yasioisha ndani ya familia na baraka ndani ya, nyumba hutoweka, na...
0 Reactions
1 Replies
591 Views
Jamaa kamdanganya girlfriend wake kuwa anasomea HOTEL MANAGEMENT. Siku huyo girlfriend akamkuta jamaa anaosha vyombo kwa MAMA NTILIE. Girlfriend akamuuliza jamaa “baby vipi mbona uko hapa?” Jamaa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jana nateremka kwenye BASI UBUNGO nataka nichukue TEKSI hadi KIMARA naambiwa sh.15,000/=. Wakati ninapotafakari hiyo bei, nikasikia "Moro, Moro,Morogoro sh.6,000/=" Nikaamua nipande niende zangu...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
_*"Uzuri Wa Mwanamke Sio Sura Ni Tabia.. TABIA Ni Kifupisho Cha Maneno "TAko BIdhaa Adimu" .. Na Kweli Wanaume Tunazingatia Hilo Ndo Maana Tukipishana Njiani Na Madem Lazima Tugeuke Kuangalia...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Siku ya leo nilikuwa na mishe kidogo kariakoo hivyo nikabeba mgongoni kibegi changu nakuelekea mitaa ya msimbazi sasa nikiwa katika ile barabara ya msimbazi nikajisemea leo nataka nimkamate mwizi...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamaa alipimwa Malaria ikawa damu haitoki vizuri kwenye kidole..... Ikabidi nesi amminye kidole taratibu ili damu itoke..... Katika kuminywaminywa jamaa akaona raha!! Akamwambia nesi "MKOJO...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…