JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Lara 1 please mama popote ulipo, i miss you so much... fanya kurudi mamii... tangu uondoke form four wengi wamejazana na kuliteka jukwaa... stori za kusadikika na kujikweza zimezidi mbaya zaidi...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Zamani mtu akipiga picha anaomba Negatives ( Ilizoeleka nega) na ana albam ya picha nyumbani, siku hizi mtu akipiga picha anaomba camera man amtumie WhatsApp na ana albam ya picha google photo ...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Soon after resigning as President for Zimbabwe Robert Mugabe advised african presidents as follows:"Hold on to power tenaciously until you are too old to be shot, amass great wealth for you and...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo katika nani zaidi ya redio chattle fm tunakuletea mpambano mkali wa kukata na shoka kati ya Dr.Shika na Hasimu wake Dr.Magu, ~Wote ni ma doctor ~Wote wanatokea kanda ya ziwa ~Vitu vingi tu...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Jipatie simulizi ya kusisimua WhatsApp 0713111547 Karibuni
0 Reactions
0 Replies
520 Views
14 Reactions
18 Replies
3K Views
Ahhh kwakwel wakuu.Dr shika nmemvulia kofia
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Karibuni wenzangu tuliozaliwa pamoja Tumshukuru Mungu Pamoja.
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Samahani wanajamvi, Kweli kweli nimetamani sana naomba kuunganishwa na Wema Sepetu natamani kumuoa. Nasikia amekosa mtoto mi najua nitafanyaje apate mtoto tena akipata hata mapacha. Mimi nina 29...
1 Reactions
57 Replies
8K Views
Kuna watu tuna matatizo ya kunywa pombe kwanza kila unapotaka kufanya jambo fulani; > Tukiwa na furaha tunakunywa pombe kwa ajili ya kusherekea > Tukiwa na huzuni tunakunywa ili tufurahi >...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
PUBLIC SMOKING IS BANNED IN KENYA Mother tongue interference at its best. After public smoking was banned in most Kenyan towns, the town clerks were obviously assigned the duty of...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hatimae ndege joni nimetua chuo flani hapa nchini nachukua elimu za juu. Cha ajabu nilichokiona ni tofauti na nilivyokuwa nawaza kabla ya kuja kuchukua hii elimu. Nilishazoea kujichukulia watoto...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Nikiwa Mpweke ni wewe Unanifurahisha Nikiwa na Maumivu nikiwa nawe napona Nikiwa na hasira nakimbilia kwako Hisia zote mbaya kwangu ni wewe unaziondoa Halafu eti wanasema sina Mpenzi...
0 Reactions
1 Replies
641 Views
*Jana nilimdanganya mke wangu nasafiri naenda Mbeya kumbe nipo tu kwa mchepuko* *Kwa bahati mbaya leo mchana ile napanda daladala ya Tegeta nikapishana nae mlangoni.* *Unajua niliishiwa nguvu...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Unajua mwaka 2005 wakati John anatoa wimbo wake unaitwa Hao , mdogo wake Nickson alikuwa hafahamiki kwenye tasnia. Waliokuwa wanamfahamu ni machalii wa mtaani kwao Daraj mbili, wakati huo...
2 Reactions
0 Replies
702 Views
hivi unatakiwa ukae kwa mda ngani kwa jirani baada kula msosi uondoke ili usionekane ulifuata msosi
1 Reactions
1 Replies
538 Views
Padri na Muuaji.... Padri amekaa katika ki-box cha kuungamisha, kanisani hakuna mtu. Mara muumini mmoja akaingia, akapiga magoti upande wa pili na kufanya ishara ya msalaba akaanza kuungama...
4 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wana JF... ukweli nimekuwa natafuta game ambalo linaitwa cubic game... ni la kupanga rangi.. Naombeni kujua hili game kwa tanzania hii au dar es salaam hii ntalipata wapi ??? Na kwa kiasi gani
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…