JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ukilala tumbo linaangalia darini ni dalili kwamba Wewe ni Mwerevu sana na utakuwa na mafanikio makubwa sana maishani mwako Ukilala kwa kulilalia tumbo ni dalili kwamba huna akili halafu utakuwa...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Wakuu nina ka project kangu nataka niwatafune mastaa wa kike hapa TZ wasiopungua 20 Nataka nianze kuanzia ngazi ndogo yani mavideo queen ,nije bongo muvi nimalizie na bongo fleva Kwenye video...
13 Reactions
81 Replies
16K Views
Vichekesho vya baadhi ya Wabunge wa CCM Bungeni “Mheshimiwa Spika, kabla sijaingia kuchangia bajeti hii, nataka niseme kuwa naona upinzani wamefikia pabaya sana, wanaikashifu serikali sikivu ya...
2 Reactions
3 Replies
5K Views
Wakuu, Kwa tunavyoishi hapa JF, tunavyo interact, ni hakika, mawazo na michango ya mtu yanahakisi tabia yake. Kwa hakika hata mtu akikukurupusha usingizini akuambie kama unachagua mtu wa...
5 Reactions
556 Replies
22K Views
Katika pitapita zangu nimegundua mambo ya zamani mara nyingi (japo sio zote) huwa yanapendwa kuliko ya sasa sijui sababu ni nini.ngoja nitoe mifano. Ukileta battle ya mfano Mr bean vs Charlie...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za jioni ndugu katika Mungu na katika baba wa taifa(Nyerere). Wengi humu ndani wana nyumba ama wanatarajia kumiliki nyumba. Je, kuku wa jirani yako wakiingia uani mwako au kwenye wigo wako...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Yani Kwa Hali Ilivyo Sasa Hivi Kwa Mtaji Wa 1000 Mpaka 500sh. Siulizi Biashara Gani Ya Kufanya Direct Naingia Kuinvest Kwenye Betting Company !! Je wewe Unapokuwa Na Buku Mpaka Jero Mkononi...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Watu Wengi wamekuwa na wapenzi zaidi ya wawili Hii ni ishara ya kuwa wote alionao awe mwanaume au mwanamke amewatamani tuu Hakuna na upendo wa kweli ndani *true love * Na tabia hii imewafanya...
0 Reactions
5 Replies
825 Views
SAMAHANI NAOMBA KUULIZA[emoji811] ETI ZILE NCHI ZENYE BARABARA ZA LAMI KOTE NDO ZINAITWA[emoji810]LAMINATION[emoji810] %bangi ya sumbawanga bhana haina radha kabisa %
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za saizi wana JF chit-chat Kichwa cha mada chajieleza - siku tatu zilizopita niliomba mzee anipige tough hela ili niongezee kwenye ada , akaniahidi nimsubiri kidogo , Leo amenipatia hiyo...
15 Reactions
39 Replies
3K Views
jamaa wawili ambao walikuwa wakiendesha magari wameongozana wamegongana leo maeneo ya posta. chanzo cha ajali kwa mujibu wa mke mmoja wa hao madereva ni mwana dada mmoja mrembo wa kibantu...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu nimetembelewa na rafiki yangu mwenyeji wa Dare s salaam, sasa kanikuta nipo kwenye harakati za machopochopo maana nimetoka kwenye mishemishe njaa kali sana, nimepika ugali na mboga...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Mwalimu wa somo la hisabati aliandika ubaonu *36x + yx, 2/3yx + 3x (66y + 12x).b = 0* Akamwambia Shafii atatue tatizo. Shafii alichukua dasta akufuta ubao akamwambia mwalimu tatizo limeisha...
1 Reactions
3 Replies
988 Views
Nimekaa, nikaanza kujiuliza siku ya kufa hivi inakuwaje? Sasa Mimi binafsi nafikiriaga Sana ambao ntawaacha hapa duniani.. Hivyo na wivu fualni hunijia kwamba Da..! Ntawaacha washikaji, ndugu...
3 Reactions
240 Replies
14K Views
*Namna wadada wanavyo watambulisha wapenzi Wao wenye sura mbaya...utasikia* *USIMUONE HIVYO ANAHELA HUYO* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Morning morning morning
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Jana wakati naangalia taarifa ya habari mtangazaji akasema "mpenzi mtazamaji nataka nikupeleke moja kwa moja hadi marekani" nikazima TV kwa haraka nikaenda kuvaa viatu. Hadi sasa hivi bado nimekaa...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…