Mambo vipi nauli ya kuja JF ni bei gani kwani? mpaka unune utoe povu la nini sasa??vyuma vimekaza ondoa stress kwanza!! ucheke kidogo ufukuze uzee!! moja, hatuwezi kuwa wote sawa kiakili hivyo...
Kesho nahitaj kwenda fiesta maana sijawahi nasikia huwa kuna fujo sana hivyo naogopa kwenda peke yangu.
Nahitaji rafiki atakayenilinda muda wote wakati wa fiesta kwa wale waliopo Dodoma tu...
Imefika kipindi Jamii, ambayo hufikiri jukumu la ulezi ni la akina mama tubadilike, Tukajikuta na A Tuthubutu japo kwa wiki kuwa karibu na familia zetu ili kuonesha upendo, na kuwapa unafuu...
Naibu waziri wa Viwanda na Biashara amewadhalilisha waandishi wa habari, kwa kuwahadaa wasafiri toka Singida Mjini hadi Ilongero, Kama Km 30 hivi tena katika barabara mbovu sababu ni tope na...
Wanabodi,
Kuna haka katabia kwenye magroup ya whatsapp mtu anapost kitu kwaajili ya show off then anasema "sorry wrong post".
Kuna dada tupo nae kwenye group yeye wrong post zake ni siku...
Ilikuwa primary katika shule yetu ambapo tulipata ugeni wa wazungu wenye pua ndefu (wajerumani),hakika siku hiyo kilikuwa kivumbi na jasho mule darasani.
Lugha ilikuwa ni zaidi ya gongana,wale...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu
Mimi naomba kama kuna mtu humu ndan anafahamiana na dada huyu aitwaye butogwa shija amwambie ninampenda...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Kwa mfano sasa uko ndan ghafla bin vuu
Maaaara paaaa nyumba ndo inaanza kuteketea kwa moto wa kas ya ajabu utaondoka na...
Ubuyu Wa motomoto ile aga ya miss natafuta kumbe yule jamaa Wa vyura behaviorist ndio kampiga block
Eti inasemekana miss kapewa sharti kama anataka ndoa bhasi abanduke jf
Eti behaviorist baada...
Kuna watu wanajidai kauzu zaidi ya dagaa a eti kuwachekesha ni ngumu sana. sasa leo nawapa challenge tizama video hii na usicheke kama kweli unaweza
PART 1
PART 2
Part 3
Wadau Kwema
Hapa Tutakuwa Tunapeana Story Mbali Mbali Za Vijiwen & Vijiwe Vya Kahawa
Leo Katika Pita Pita Zangu Nilipata Bahat Ya kukutana Na Mzee Mmoja Iv Kiumri Anagonga 65 +
Bass Tutawa...
Taja sentesi fupi ambayo, inaweza kukufariji/kukupa raha na pia inaweza kukupa huzuni/majonzi kulingana na nyakati tofauti katika maisha.
mfano: 'haya pia yana mwisho'-ukiwa una pesa na utajiri...
Nipo nakunywa hapa,lakin silewii,,,ina maana nimekuwa kalevi kalikotukuka ama?yaan pombe imezoea damu ama[emoji23]
Nimekunywa ka saint Anna na bia kama 10 yaan hata ndio kwanza,,acha nikalale tu...