Umu JF, inaonekana members wote washawah kukutana ana kwa ana n wakafahamiana, icpokua mimi tu ndo cjawah kukutana wala kuonana n member ata m1 umu....
Hii inawezekana kweli niwe mimi tu?
Au...
Wakuu za mida mida! Najua mida hii wengine walinzi, wengine tuko mgegedoni, wengine wanga
Ili neno vyuma vimekaza limeanzia wapi, ni nani alikazwa na vyuma akaona hilo lowe neno (msemo)
Wakuu
Najua hizi thread zinazoishia na maneno "tukutane hapa" huwa zinajazwa na wachangiaji mbalimbali na pia huwa na mavuzo na ucheshi mwingi unaosaidia kupunguza makali ya maisha. Lakini siku za...
Nimeanzisha uzi huu maalum kwa watu wote ambao walipata matatizo mbali mbali wakati wanaanza kazi(kuajiriwa)
Mimi nakumbuka wakati naanza kazi nilipangiwa Kigoma kikazi, nakumbuka siku ya kwanza...
*AMERICAN POST:*
Hello, my name is Sandra Stone, I am from New York, I love my husband so much and I can do anything to please him... But recently I am falling for his cousin, what should I do...
Mi nakumbuka primary kuna kiranja alikuwaga ananionea sana kisa usmart wangu afu pia nilikuwa na materials na vifaaa vingi vya kuchezea maana mama yangu alikuwa anafanya kazi shirika moja la...
Najitahidi sana kuwatofautisha lakini kila mara najikuta nawachanganya sana na kuna wakati huwa nahisi labda nachati na huyu kumbe nachati na yule. Halafu ni Members ambao wana share vitu vingi...
Wakuu..
Tangu kujiunga na jamiiforums nilikuwa nikiamini wanachama wa jf ni binadamu wa kawaida. Lakini baada ya muda Fulani nilijitahidi kuwadodosa marafiki zangu na watu wengine, lakini hakuna...
Kama umeokoka katika ajali ya meli baharini Na ukajikuta upo katika kisiwa Na humo melini umeokoka wewe wanaume wengine watatu, Na warembo hawa baada ya miaka mitano ya kusubiri bila matumaini ya...
BARRICK WANAMILIKI MAJORITY SHARE 64% SERIKALI 16% WADAU WENGINE 20% KITU AMBACHO WANGEENDA KUNUNUA SHARE KAWADA TU KAMA MI NIKITAKA KUNUNUA SHARE ZA CRDB.
PILI, JPM KASEMA TUNAGAWANA 50% YA...
Mwanzo mkuu The bond nilikuwa Nakuelewa sana, ulivyokuwa unachambua mada zako hapa jukwaani kwa weredi mkubwa hakika ulionekana utaifanya JF ionekane ni ya magreat thinkers wa ukweli.
Ile siku...
Hivi sasa si Noah tena...bali ni 14,000
Lakini no sweat hata hiyo tunaweza kuitumbua tu.
Mimi nitakachofanya kwa kutumia 14,000 yangu
1. Naenda kupaka rangi mikononi na miguuni - 5000/-
2...