Alosto ni member ambaye amejiunga jf siku chache zilizopita lakini amekuwa mwiba mkali kwa kuwashambulia waziwazi members wengine wakongwe na maarufu. Members ambao hadi sasa wameshambuliwa na...
Husika na kichwa cha habar hapo juu nimekuwa nikijiuluza sana kwa nini! mada nyingi zimekuwa za kijinga jinga hasa kwenye jukwaa la MMU yani mtu anaandika thread ya kuomba ushauri mpaka msomaji...
kwa hesabu ya 700 bil gawanya watanzania 50 mil ,hongera sana kila mtanzania anajipatia mfuko wa cement yaan tshs 14,000.00 mwende mkajenge nchi ,noah ni uhuni misele ya nini nchi masikini ?
MVULANA: Daktari, rafiki yangu wa kike ni mjamzito, lakini mara zote nimekua nikitumia kinga. Inawezekanaje hii?
DAKTARI: Ngoja nikusimulie hadithi. Kulikua na Muindaji ambaye alikua anabeba...
Jamani imekua kama taarifa za hivi punde za ITV yani mara paap nakutana na mrembo machachari wa JF kaweka picha yangu kwenye avatar yake nadhani mimi ndo wa kwanza kuwahi kutokea toka JF imeanza...
Sidhan katika hili km kuna haja ya mtu kutoa mapovu humu ila tuchangie mitazamo yetu kwa namna ambao kila mtu analichukulia
Me sometimes mtu akicomment nataman nijue sex yake ili nijue nareply...
Hilo swala nimeamua kulileta kwenu kuhusu User Name yangu.
Kujiita zero IQ haimaanishi kwamba Niko zero Brain au empty kabisa.
Don't judge for my user Name eti ni kwa sababu ni Zero IQ ...
Habari!
Kutokana Na mapenzi anayonipa mrembo huyu,mke wangu mtarajiwa nimeamua kutumia avatar yake
Tafadhalini jamani wanaume wenzangu Mimi ni kidume msije mp kutongoza mtabakwa![emoji23] [emoji23]
kwa wale wenye mama au wazazi kike ambao ni mashallaah msipanic mara paaaaap unapita kichochoroni au mtaani una kutana na mama yako kabananishwa na jamaa tall lina mandevu big mbavu nene kifua...
jamani nauliza kama kuna mitandao yoyote yakuchat na wabongo wenzangu imenijia hamu ya toka enzi za darhotwire naomba nambie kama kuna website yoyote au app. shukran nimeona moja inapatikana...
Habari wanajamvi,naombeni msaada kufahamishwa kua ni wapi haya maduka ya HS HARMONY yanapatikana DODOMA... nmeambiwa wamefungua branches mpya DODOMA ambapo mwanzoni hazikuepo.
Msaada tutani...
Wakuu habari za majukumu.Mimi bwana ni mchunguliaji wa jf toka zamani sana nilikua guest tuu kusoma thread za watu basi..Basi tangu nimeijua jf nikajikuta navutiwa sana na bibie Nifah...
Kuni mbichi na muda unazidi kwenda. Baba ametenga sufuria la ugali na ametuahidi anakwenda kutafuta kitoweo lakini mpaka sasa mambo hayajaeleweka.
Njaa inazidi kuwa kali na kila jirani ana uadui...
Habari za mida hii wapedwaa!???
Leo na swali na ningependa mnijbu km swali linavyouliza
>>Ni kwanini asilimia kubwa ya wachangiaji wa majukwaa ya chit chat & MMU hawako serious sana kwenye...