Huyo uliompost ninani ndio mwanao., mke wako au demu wako.., gari ni yako hivoo mbona nzuri n.a. nyumba je ushahamiaa
Usiniuulizeee maswali n.a. usinipangiaa cha kupost
Ukitaka kuoa inabidi mwanamke huyo asiwe mzuri kwa kila mtu maana hapa ndio presha inapoanzia,chukua wale mademu like Ebitoke utaishi bila presha[emoji23]
Nimechunguza na Nina ushahidi wa hii kitu kwanini waume za watu wakiwa na mchepuko anambana saana Yani sielewi hii imekaaje ni wivu au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sie huku mtaani kwetu, vyuma vimekazwa! Mpaka mbuzi wanakula chips, na Mbwa wanakula mahindi ya kuchoma, na miwa. Sijui Uswaz kwenu kukoje huko wakuu....!
Tamthilia ya the promise inayorushwa star tv kuna jamaa yule mpishi anavaa ki shoga yaani anaboa sana na pia kuna wangine wameenda mbali mpka kujipodoa kabsa na kuvaa ki dem je ni kwanini wahusika...
Wanachitchat habari zenu.
Nisaidieni ninachowaza. Kila nikitazama tv za tanzania naona tangazo: "Kipindi hiki kinaletwa kwa ushirikiano na Cocacola"
au "kipindi hiki kinaletwa kwenu na cocacola"...
"Chezea mzunguko wa siku zako, chezea mzunguko wa siku za mwenza wako na ukiweza chezea hata mzunguko wa dunia, n.k, lakini kamwe usichezee mzunguko wa hela."
Wachumi,wanasayansi,wanasiasa na...
Kuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za...
Habarini wakuu….
Nasikia mkuu wa kaya ameteua baraza jipya la mawaziri. Wacha tu waendelee kuchaguana ili wakaze vyuma ila ni poa tu hakuna noma.
Niende kwenye mada yangu ya msingi…
Leo nataka...
Ndugu wanabodi kuna hii hali ya baadhi ya wana JamiiForums kutumia avatar za kike ilihali ni wanaume imekaaje?
Kiuhalisia humu hatufahamiani kwa majina halisi ama sura halisi, mara nyingi...
Usijiulize wewe ni kinyozi kwa maana gani?
Kama ulishawahi kujinyoa zile nywele za Chini basi wewe ni kinyozi na unamiliki saloon yako pendwa kabisa.
Jinyoe utakavyo lakini jua wewe ni kinyozi tu .
mfano
Ingetokea mungu akakuambia nakupa nafasi ya bure nikurudishe nafasi gani moja/siku gani moja tu, ambayo iliwahi kukutokea huko nyuma ambayo mpaka sasa ukiikumbuka unajutia unatamani...
Wakuu hope ni kwema.. Wana Chit chat hivi watoto wa kike wa kizungu nao hupewa mimba na kuachishwa masomo na kijana alie mtundika mimba kuruka futi kumi kama huku kwetu AFIRIKA MASHARIKI na pale...
Ni ukweli usiopingika kuwa abiria wengi wa Fastjet ndo mara ya kwanza kupanda ndege (toka kuumbwa kwa Ulimwengu huu) hapa nasisitiza hasa wale wanaotokea/wanaopandia Uwanja wa SONGWE-MBEYA. Hawa...
Sijui ni kwanini Watani zangu wengi ni Watu wenye majanga majanga hivi hadi najuta hawa Wazee wetu wa Kale walifikiria nini hadi kutufanya Sisi watu wa Mkoa wa Mara tukawa tukawana na Ujomba na...