Kijiweni bhana!
iwe kwenye kahawa,drafti,kwa fundi baiskeli...kwa fundi wa kushona nguo,stori ni kiungo muhimu sana kuliko kitu chochote mahali hapo...mara Simba mara Yanga,Man U mara Chadema mara...
Habari wakuu...
Nilipata namba yake nilichart nae dakika kadhaa na nikamueleza ukweli NAMPENDA haya mtoto kanielewa???
Nini kinafuata baada ya hapo wakuu???
Ushauri wenu nahitaji nile huyu...
*MAISHA YA NDOA YANATAKA SUBIRA SANA......UNAWEZA KUNUNUA PARACHICHI LAKO JIONI ULE NA WALI UNAKUTA MWENZAKO KALIPONDA KAPAKA USONI[emoji18][emoji18][emoji18]*
Sent using Jamii Forums mobile app
Yafuatayo ni mambo makuu matatu ambayo wanandoa wakiyaelewa na kuyafanya kwa uaminifu, amani na Upendo vitadumu kwa wanandoa na hakutakuwa na neno taraka tena.
Mambo yenyewe hata Mimi siyajui...
Sallaam,
Hivi wakuu mtu akiwa amekaa bar counter anakunywa bia zake ghafla wakatokea majambazi wakamshambulia hii si ndio inakuwa "counter attack" au!?
Watuma salaam maarufu katika stations mbalimbali za redio wale wa zamani na wa sasa hivi wepi ni bora.
Wazamani ni kama vile mlingoti wa chuma mama pendo mama africa,kutoka kasulu dr jangala,mzee...
Wakuu hivi member gani humu threads zake anazozianzisha huwa zinakuvutia sana kiasi kwamba ukiziona lazima uzisome na uchangie yani kwa kifupi huwa hazikuboi pia ni member gani threads zake huwa...
Unampigia simu mtu hapokei halafu anatuma meseji ''nipo kanisani''...
Jamani kanisani unapataje muda wa kushika simu.. Tena katoliki takatifu la mitume!!!!
Damn it..