JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kumekuwa na Tabia kila msiba unapotokea Dar mnajazana kuja kijijini kuzika... +Mkifika hamchimbi kaburi. +Hamumlilii marehemu +Hamumswalii marehemu +Hamumfukii marehemu Mnachokiweza na kukaa na...
9 Reactions
27 Replies
3K Views
Kama unajijua kuwa unaishi na mtoto wa watu na hujajitambulisha wala kutoa mahali kwao, basi wewe ni mmoja wa wafuasi wa Boko Haram, nasema hiviiii #BringBackOurGirls .
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba wale wataalamu wa ramani please munielekeze sehemu yenye samaki wazuri wa kuchoma. Ikiwezekana iwe mitaa hii ya Mbezi ya Kimara. Sitaki kukipeleka ki baby changu mbali. Senkyu na karibuni...
0 Reactions
72 Replies
5K Views
Ukweli ndo huu mtu anakomaa na ww kwamba anakujua so what? Halafu unakuta mwingine kazi kukufatilia tu humu jf ili kunikera ati haaa mimi sikereki Hunijui sikujui tumekutana tu hapa jf halafu...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Wadau habari zenu Hali yangu kiuchumi imetetereka na sikukuu ndio ipo mlangoni,hivyo nina watoto wa 4 wawili mpaka sasa wameshapata nguo ila wawili na pesa ya pilau ndio mashaka Baada ya hali...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Kuna wimbi kubwa la mada humu JF na hata huku mitaani, Wakiwasema single mother kwa kila mtu na maoni yake. Wengi wanawasema katika mahusiano kuwa si watu waaminifu. Lakini chakusikitisha ni...
2 Reactions
3 Replies
713 Views
Wadau huko Arusha jina la Gloria linatamkwa Gilooo! tena kwa kuvuta. Mother anatamkwa Mazaaaa! Wajuzi mtujuze kwanini?
0 Reactions
5 Replies
723 Views
The funniest application letter ever written
0 Reactions
1 Replies
926 Views
Tunazidi kupiga hatua katika kuboresha viwanda vya ndani #vyerehani4 Sent using Jamii Forums mobile app
5 Reactions
38 Replies
3K Views
Hivi wanaume wa Dar, mna matatizo gani mnadandia dandia vijineno neno kama wadada, - Siyo kila kinachopita mnapita nacho, kuweni na akili basi
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Mapenzi na wadada wanaojiuza ni hatari sana, si hatari kwa maana utapata maambukizi la hasha bali ni mapenzi yanaboa kupita maelezo. Ukikutana nae anatazma pesa tu mfukoni wala hana hisia na wewe...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
For tonight is RnB night starting 8 p.m MMU Lounge. Remember to pick only RnB songs! The most glamorous couple wins tickets to the White Party!! See you there.
0 Reactions
21 Replies
2K Views
*ivi ukisepa tz kwa mda mrefu alafu ukapamiss ndio unaitwa miss tanzania au??????* Bangi mbaya!! Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
799 Views
Baadhi ya Watanzania wanadai eti wah.Kabaka na John Pombe Magufuli ndio mawaziri wenye majina mabaya duniani,ebu angalia listi ya mawaziri wa nchi za wenzetu halafu mlinganishe na akina Pombe na...
0 Reactions
8 Replies
15K Views
Wazimu unataka kunipanda, na nnavojijua wazimu wangu ukinipanda hata nguo ntavua. Weekend imeenda vizuri tuu niko pembezoni mwa bahari alone akaja jamaa mmoja hivi akaanza kuniimbisha. Haikuwa...
2 Reactions
128 Replies
8K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa wale mliopo Zanzibar tuchekiane kidogo mimi nipo Magogoni stand vp mwenzangu uko wapi?
0 Reactions
7 Replies
948 Views
Matajiri hatulali sana tunalala kidogo, tunafikiria kuwafikia kina Bakresa na Mengi tuje tumiliki mademu wakali mandinga makali tutumie mapafyum ya Chibu Dangote. Wa kishua
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Aisee Wee classmate elfu mbili na........ Well known as Amri........d ni feki feki fekiiiiiii of all the fakes. Umenitapeli hela yangu Japo ni kidogo mate kumbe bora nisingepingana na hisia zangu...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…