JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mwizi mmoja kwa jina la Mathew Stewart (32) amekamatwa huko Los Angeles baada ya kuingia kupitia dirishani kuvunja kioo na kuiba cake aliyopewa na girlfriend wake kwaajiri ya birthday, John...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwanza ifahamike toka zamani watu wafupi tunadharaulika sana na kwa kulitambua hilo mapema kabisa yesu alimtembelea mtu mfupi zakayo nyumbani kwake. Na hiyo yote yesu alikuwa anataka kuwafuta...
3 Reactions
87 Replies
6K Views
Hakuna kitu kizuri kama kupata *Mwanamke* anayekuheshimu,kukusikiliza, na Kukupa mapenzi motomoto, *Yani Kuna Muda Unatamani Umwambie awafundishe na Mademu Zako wengine!!!!*...
4 Reactions
7 Replies
694 Views
Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
855 Views
Kumbuka Usicho kipenda na mwenzako pia hapendi kutendewa.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama ulisoma kidumu na ufagio, miaka ya 90s bila shaka uliwahi kukimbia mchaka mchaka ule wa asubuhi. Nakumbuka moja ya nyimbo zilizokuwa zikihamsha hamsha! Kuna huu! 'Nelson Mandela...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Yani kwa vile hujui kingereza inabidi niandike kwa kiswahili. Toka asubuhi tulikuwa wote japo hukutaka hii keki niipige picha ila huwezi kunizidi ujanja. nakuwish happy birthday my babe ...
12 Reactions
120 Replies
16K Views
Niwaleteeni huu mjadala na nyie hasa atoto we unajua kupika kweli?
3 Reactions
124 Replies
7K Views
Unakutana na mtu anadai hali Kitimoto lakini anakula SAUSAGE, si kujidanganya nafsi? Huku ni kujidanganya nafsi, na wakati unajua imani ya dini hairuhusu. Takbiiiriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
0 Reactions
66 Replies
7K Views
Acha kumwuliza mwanamke kama ana boyfriend, mtoe out mnunulie msosi, kinywaji, mfanye acheke, mnunulie kila anachokihitaji kam n sim, nguo na vingne then mwache achague mwenyew kama yuko single...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Karibu sana kwenye huu mchezo mzuri kila mmoja aweke herufi ya mwanzo ya jina lake tuchague tunaorandana herufi za mwanzo mimi ni J aje mwingine mwenye herufi kama yangu..... J
1 Reactions
85 Replies
7K Views
Kama chips zingekua ni madawa ya kulevya ni kina nani wangekua mateja sana kati ya Wanaume Wanawake
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Msemo huu umeshika kasi sana miezi ya hivi karibuni naombeni kujua ni nani alianzisha msemo huu, mimi binafsi nimemsikia sana Dogo Msodoki YoungKiller akiutumia kwenye track zake ika sijaua ni...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Najua kila binadamu ana carrier yake wengine wako serious kama mimi na kuna wengine muda wote wao ni kufanya masihara na ucheshi wa hapa na pale. Je nani ni mtu serious na mtu wa mizaha mingi...
0 Reactions
74 Replies
5K Views
*Jamaaa mmoja kakodi taxi akawa anatembea katika jiji mara kapita* *gest moja akamuona mkewe anaingia gest* ```jaamaa akamwambia dereva simama,... akamuulizaje```? *unataka laki tatu za chap chap...
1 Reactions
3 Replies
887 Views
Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika tembea tembea hukoo kuna kitu/vitu tunajifunza kuhusu mambo mbalimbali. Binafsi nimefahamu mengi pamoja na baadhi ya madawa ya kiasili ya ukanda huo. Madawa yatokanayo na majani au miti...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani, Hivi sikuhiz kuwa na simu kuubwa ndo fasheni? Make vijana ofisini kwetu naona kama hawana cha kufikiria zaidi ya kushindana kununua simu mpya kubwa kubwa mara kwa mara. Mwingine...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari zenu Niende moja kwa moja kwenye mada maana wachawi hatunaga maneno mengi ni vitendo tu. Kwa miaka mingi sana nilipenda wachawi wote wa (jf)tufahamiane! Ndiwooo tufahamiane hili...
8 Reactions
180 Replies
19K Views
Huwa nikiwa nje ya Dsm sio rahisi kusikia watu hasa wanaume wenzangu wakihadithiana habari ya series hasa za Kikorea Sana sana ni Movies tena zile za kihenga za enzi za akina Dolph lundgreen...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…