JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari zenu wandugu?? Leo embu tukumbushane mambo ya zamani ambayo ulikua unatumia akili za kitoto ktk kufikiri. Basi bhana mimi zamani nilivyokua mjinga nlikua najua ukizima RADIO kama ilikua ni...
10 Reactions
310 Replies
48K Views
Dah Asalam, Kwanza siku moja mimi nilianzisha ugomvi nikasahau kuwa asubuhi nilisaga pilipili nikawa nawapa kuku walikuwa na kideli Sasa jamaa akanipiga ngumi ya jicho chozi likawa...
3 Reactions
67 Replies
6K Views
Wakuu.. Binafsi ni mathematics ila sijawahi feli hata katika level yoyote.......Nilikuwa napenda biology daah jamani nalipenda hili somo??
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Habari! Yani siku yaleo sijui najionaje nahisi niko hovyo hovyo tu yani hovyo hovyo tu . mpaka watu hawawaelewi mtu akisema hivi najibu tu ilimradi akisema vile sieleweki yani. Akifanya hivi kwa...
3 Reactions
81 Replies
5K Views
Jamani naongea haya kwa masikitiko na huzuni kubwa sana hapa. Sina pozi kabisa mwenzenu natafakari bila kupata majibu juu ya sisi wanawake Kuna sehemu unaeza kuta wanaume wawili watatu wamekaa wao...
7 Reactions
98 Replies
4K Views
Nampenda mpendaaa Naanii Kijana mmoja Naani Mzungu kidogo Naani Tajiri kidogoo Bosi kidogo Naani Mweusi Kidogo Naani Mrefu kidogo Naani Mpole kidogo Naani Ana mwili mzuri Naani Magari mazuri Naani...
11 Reactions
262 Replies
12K Views
Chizi mmoja kavaa Miwani, Jicho likawa lamuwasha akaanza kukuna miwani.[emoji15] Jamaa akamuuliza mbona unakuna miwani? Chizi akajibu we ukiwashwa Matako utavua Suruali???[emoji87] MASWALI YA...
1 Reactions
1 Replies
795 Views
Wakati wew unatamani baba ako angekuwa Billigate; baba ako nae anatamani angekuwa Mbwana samatta Hapo ndipo ujue shetan anacheza na akilizenu wote...
1 Reactions
1 Replies
798 Views
Habari wandugu, Naomba mniandikie sentensi hii kwa Kiingereza. " PAMBANA NA HALI YAKO " Nawasilisha.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
.........
1 Reactions
24 Replies
906 Views
Baa nyingi zimefungwa barabara ya sinza uzur,kuna tatzo gan uswahilini kwetu? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
856 Views
Mambo baby,beib? Umekula my? Unafanya nini? Ongeza na wewe
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Toa maoni kuhusu picha hii unayo iona au eleza chochote kuhusu picha hii....
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu, Nimeshaandaa hela ya mchele kama kilo 25 na kuku (majogoo wekundu) wanne kwa ajili ya kumpa mganga mahiri kwenye hiki kitengo. Ushuhuda wa wazi ni kwamba: Tangu Januari mpaka sasa nimepiga...
1 Reactions
46 Replies
6K Views
Msanii mchekeshaji katarina aamua kufunguka kuhusiana na na hali ya maisha kuwa ngumu, katarina katika ukurasa wake wa instagram kaamua kufunguka kwamba, baada ya maisha kuwa magumu kaamua...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Wana jf msaada nimekaa siti moja na mang'ati kwa harufu anayotoa nahisi kutapika nataka ninunue maji ya baridi je itasaidia kukata kichefuchefu sent from nyumbu moderators
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuna mtoto ameniuliza swali hapa imebidi nimtume kwanza dukani ili nipate muda na mimi wa kuuliza. "Eti SIFURI kwa kirumi inaandikwa vipi jamani?" Yeyote anayefahamu anisaidie tafadhali
2 Reactions
12 Replies
6K Views
Chizi mmoja kavaa Miwani, Jicho likawa lamuwasha akaanza kukuna miwani.[emoji15] Jamaa akamuuliza mbona unakuna miwani? Chizi akajibu we ukiwashwa Matako utavua Suruali???[emoji87] MASWALI YA...
1 Reactions
3 Replies
675 Views
Anaejua hawa jamaa wako wapi atupe info plus weka unaetaman kujua yuko wapi tukujibu Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…