JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari yenu wakuu, Nmependa nitumie jukwaa hili kutoa angalizo moja ambalo nina ushuhuda nalo. Mara nyingi watu hupenda kwenda Sokoni kununua Matunda kwaajili ya kutengeneza Juice majumbani...
5 Reactions
30 Replies
5K Views
Mara paaap mmevamiwa home na majambazi wenye bunduki . Katika kutafuta cha kuiba, wakafanikiwa kupata elfu saba mia nane pamoja na redio ya mkulima. Kwa hasira majambazi wanaona wametumia nguvu...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Watu wana vipaji jamani khaa
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Anayetumia jina la mayu Nina Shida sana namwomba ibox please
0 Reactions
4 Replies
567 Views
Ila wanawake bhna! Yani umeshatoa mimba tatu mfululizo halafu Kuua mende unaogopa, Si ujinga huo :mad: :mad: :rolleyes: Ila Wanawake wanafurahisha :D Eti mwanamke mchepukaji anaweza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau,siku hiz nimekuwa na ujasiri wa ajabu hadi kuna muda nakaa natabasamu halafu najikubali, yaan huwez amin kipind cha nyuma nilikua siwez kabisa kuwakwepa mademu wanaopiga vizinga au wale...
6 Reactions
49 Replies
3K Views
Neno sharubaro lina asili ya kiarabu,maana yake ni binti kigoli mwenye kudeka!sasa hawa wanaojiita sharubaro sijui niaje?
0 Reactions
17 Replies
10K Views
Nimekaa nikakumbuka enzi nilizopitia ujanani!!Nakumbuka shati langu la AZARRO,MARADONA,Na Shati langu la Ndege!!Na Jeans yangu ya Michael Jackson na Saa yangu ya Morrtima!!Nikakumbuka viatu vyangu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
bomoabomoaa na badoo mtaongea mengi tunataka barabara kubwa mwachen mh
0 Reactions
12 Replies
2K Views
siku za karibuni kumekuwa na majina ya ajabu sana hapa JF na yanayofurahisha au kuchekesha...kama Nipigie;chapa nalo..via mobile .tzjamani, kaalamoto, 3D .mchekechoni, drphone,mtembeapeku lol! na...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
0 Reactions
86 Replies
12K Views
kuna binti fulan hapa kitaani kesha niteka kwa hisia za mapenzi, yan hata hapa niandikapo sms hii picha yake naiona usoni. Mtoto mkalee, mtoto msomi, ana pozi, smile, muelewa wa mambo dah...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu ushapata kikombe? Kama shughuli zimekubana;Tuma neno KIKOMBE LOLIONDO kwenda *000# ili uletewa kikombe hapo ulipo. Huduma hii ni kwa lengo la kupunguza msongamano kwa Mch. na kuhakikisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
inasemekana babu wa loliondo ni chadema ndio maana tiba anayotoa nikama bure,watu wanasema angekua ni sisiemu ungekuta dawa ni milioni tano na wangehudumia viongozi mafisadi wa sisiemu kwanza...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwenye kila jambo mna kusudi,naamini kuwa kuwepo kwa mchungaji Ambikile na uwezo wake wa kutibu magonjwa sugu kwa mitishamba,ni fursa kubwa kwa nchi yetu kujitangaza na kuingiza pesa nyingi za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
*"Nakusihi mwanaume ufanye kazi ili umletee chakula mke na c yeye akuletee chakula. Kumbuka kwa mara ya kwanza mwanamke kumletea chakula mwanaume ilikuwa ni pale Eden na tulijikuta tumefukuzwa...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanawake bwana, mnapopanga mahusiano yenu ili kuanzisha maisha ya ndoa na familia wanakua very supportive , ahadi nyingi , za kuendana na hali mtakazokumbana nazo , lkn ghafra mkishaanza maisha...
1 Reactions
10 Replies
996 Views
Kutokana na asili / nature ya Kazi zao Makondakta wengi nchini wamelalamikiwa sana na Wake / Wapenzi wao hasa kutokana na Vitendo vyao wa kila siku usiku wakilala tu huwa wanawahi Kuota Ndoto zao...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wana JF. Kuna habari tumezisikia kupitia kwenye vyombo vya habari hapa Tanzania, kuwa Mwenyikiti wa Chadema, Freeman Mbowe anakidai chama Sh. 188 milioni. aliongezea kununua vifaa, Bendera...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Aiseee hapa nilipo nimeboreka sana Kuna dada tupo tunafanya group discussion lakini cha ajabu kaachia ushuzi bila hata kuona haya yani kama vile hakijatokea kitu Nimeshindwa kuvumilia kwa...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…