Jamaa wamevamia benki kuiba, mkubwa wao akawaambia wateja wote na wafanyakazi ndani ya benki: Laleni chini na kila mtu atulie jinsi alivyo. Hela ni mali ya serikali, uhai ni mali ya Mungu. Nyie...
WANAUME NA ENZI ZETU!
Enzi za #Mwalimu wanaume tulipewa majina stahiki kama vile
MUME WANGU au BABA WATOTO
Enzi za #Mwinyi wanaume tuliitwa MABWANA utasikia mwanamke ana muhadisia mwenzie kapata...
JE WAJUA KUWA VIAZI VITAM HUONGEZA
HAMU YA KUFANYA MAPENZI NA KUSAIDIA
KUCHELEWA KUFIKA KILELE?
JINSI YA
KUTUMIA
(1) Chukua viazi vitamu vyembamba
vyenye rangi nyekundu
(2) usivimenye bali...
yaani hali hii imekuwa kawaida hasa kipindi hiki utakuta vijana pochi imenenepa sasa akifunua hiyo waleti humo kumejaa mikaratasi ,risiti za kuuliza salio ,sijui na vikadikadi ,vitambaa nini...
Jana Mtoto wa Dada yangu aliniuliza swali la kizushi, Eti Mjomba ukichanganya OMO na FOMA unaweza kupata povu??
Nikamjibu, Lazima upate kwa kuwa zote ni sabuni za unga.
Kisha nikamwambia,Siku...
eeeh.. bahna kuwa na dushelele ndogo ni jau mno nawashauli mwanaume tusichekane inauma sana roho. mabinti wanashoboka unawaangalia tu hvhv... na nyie wadada c mtuvumilie tu na vibolo vyetu eeeh..
Nashukuru Mungu kwa kuniamsha salama kabisa.Nimeamka mda huu najianda kwa ajili ya tizi kama wewe mpenda kuweka mwili vizuri basi acha shuka twenzetu.
maandalizi-nachukuwa raba,lambda,track, n.k...
Habari wanabodi, naombeni mnishauri chakufanya maana nikiweka TBC 1 mwanangu analia sana, nikibadili channel anacheka... Mbaya zaidi hata tukiwa sehemu nyingine nje ya nyumbani akikuta wame tune...
“Nimemkuta mke wangu AKICHORWA Tatoo ya TAKO Chumbani kwangu
Naitwa John ni mfanyakazi wa chuo Kikuu cha Udom, nimeoa mwaka jana tu na mke wangu alikuwa ni mwanafunzi wangu, tulianza mahusiano...
Kitu muhimu duniani ni kujua ulizaliwa lini na kwa nini ulizaliwa na kwa nini ulipewa jina hilo na kuikubali jinsia yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwepo Rais Jakaya Mrisho Kikwete na walikuwepo mapacha wawili, Ritz na FaizaFoxy. Ilifikia pahala ukimchoma Rais Kikwete, ni hawa wawili walivuja damu.
Kwa sasa tunaye Rais John Pombe...
[emoji276][emoji276]
Mungu alifikiri sana asee kuzaliwa kwetu binadam Kwa mfano ingekua mwanamke ataga mayai ndio tutotolewe tungekuwa wachache sana huku duniani vile wanaume tunavyo...
Samahanini nyote kwa usumbufu ndugu zangu wapendwa lengo na dhumuni la huu Uzi ni kutaka kusaidiwa.
Ngoja niende kwenye point kuu
Eti humu kuna mtu mwenye penceli yenye ufutio aniazimishe nifute...
Mkuu Baba V
Napenda kuchukua nafasi hii kukujulisha kuwa baada ya majadiliano ya muda mrefu na kupitia file la kila mmoja baina yangu na Dena Amsi na kupitia kifungu kwa kifungu na mabishano na...
Hakika kila jina lina maana yake,ila langu maana yake,ni nzito na inatisha je unatabari nini kitakuwa msingi wa simulizi yangu kwa wana jf wenzangu na unadhani utapambwa na picha gani kati ya...