Bwana Yesu asifiweeee.....Tumsifu Yesu Kristooo.........Wasalaam Waleiku(kama nimekosea mtanisahihisha)
Siku Ya Leo Naomba Mungu awasamehe wadada wote Wanaowaponda Wanaume:
****Wafupi
****Wenye...
Kwa wale vijana wote tulio na umri kuanza miaka 25 na kuendelea lakini bado tunaishi kwa wazazi na ndugu zetu tukutane hapa
Hizi ni hot pot family, yaani kijana unakuepo kwenu licha ya umri...
habar za siku
ninadecoder ya azam niiwasha inaandika i smart card inserted incorrectly sasa nimejaribu kuchomoa na kuweka vizur inakuja meseji ileile naombeni msaada
Habari wanajukwaa
Siku kama ya leo miaka kadhaa nyuma mwanaume nilizaliwa i cant think ni furaha kiasi gani walikuwa nayo wazazi wangu hii siku baada ya kumpokea kijana wa kiume kwa mwaka...
Wakuu
Msalimie mdau wa hapa jf kwa kuanza na hayo maneno ili kuienzi heshima ya Le Mutuz kwa viongozi.
Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
Iceman 3D kweli umenifanyia hiviii,unamsifia mwanamke mwingine nbele yangu hata kama mim ni mbaya jamani,,basi na mim ntaenda kufanyiwa upasuaji niwe kama vera sidika kwa nyuma,yaan hata kama...
Tumezoea kuku kama kitoweo au chanzo cha mayai, na ni nadra kumkuta kuku mwenye kipaji labda mbwa au paka.
Cha kushangaza kwenye mashindano ya got talent kuku mmoja ameletwa anapiga kinanda...
Hii kwa kweli nimeona niiweke humu.
Naona Rooney kaleta heka heka mitaani
Nilikuwa naangalia TV nikaambiwa hiyo ni Rooney Nga
Nikaenda kunyoa nikakuta wao wanasema Sir Rooney
Kuna mtaa mmoja Dar...
Jioni ya leo ningependa tukumbushane mambo mawili.
Tujitahidi sana:-
1.Kula-chakula cha halali.
2.Kuvaa-mavazi ya halali.
Ahsanteni.Jioni/Usiku mwema!
Sent from my HUAWEI Y360-U82 using...
Wengi huwa tunajua jinsi weekend inavokuaga na amsha amsha vijana wa mjini watanielewa zaidi ila hakuna kitu kinachotia stress kama ni weekend alafu huna hela, home kifurushi cha king'amuzi...
wadau vp mpoo
kutokana na raisi wa zimbabwe Mr. robert mugabe kutoa misemo mingi yenye mantiki mnaonaje tukimfanya kuwa mmojawapo wa wahenga
tupia comment yako.
Wakuu kuna watu humu jf wamepanda vyeo ama daraja kuanzia Leo Na kiukweli tumekuwa hatuwatendei haki hata kidogo kwa kuwaita wakuu!
Hawa watu wamekula chumvi nyingi tu
Uthibitisho ni kuwa kuna...
MWANAFUNZI HUYU ALIPATA SIFURI LICHA YA KWAMBA MAJIBU YAKE YOTE YALIKUWA SAHIHI
SWALI: Mkwawa alikufa katika vita gani?
JIBU: Katika vita yake ya mwisho
SWALI: Mkataba wa Geneva ulisainiwa wapi...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Kuanzia miaka ya 1980 hadi 2010 dunian kulikuwa ni ehemu nzur sana ya muzik mzuri na wa faraja ambao ulikuwa ni kila...