Kutokana na Wema Sepetu kubreak internet kwa vazi lake liloonyesha umbo lake umbo/shape matata. Wadau wanauliza hiyo shape imetoka wapi kwasababu mwaka jana alikuwa wakawaida. Camera za shilawadu...
Nachukua nafasi hii kuzipongeza shule za Chato na Magufuli kwa kupata matokeo mazuri kidato cha sita 2017, hii ni moja ya njia ya kutokumuangusha rais wetu, mmefanya vizuri kwa kutokutoa div 4 na...
"Atakayebaki mjini hadi Mwezi Wa saba kidume"
aliyesema kauli Hii Mwezi huu yupo kijijini chatle
kweli Mungu ndiye mpangaji Wa kila kitu....
Kumbe nae maisha magumu
Wakuu bila kupoteza muda twendeni kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Jana mida ya saa tatu usiku narudi nyumbani nikapumzike huku maeneo ya kwetu kipunguni ikabidi nichukue...
Hello guyz Mamboooz....
Nakuja na stori mpya kabisa ya kusimumua na kufundisha iliyojaa visa vya kifamilia pamoja na kimtaa mtaa...
Imeandikwa kwa mpangilio mzuri lugha nzuri itakayokufanya...
"Mtoto idi kazua balaa
mtoto idi kazua mikosi
kisa pamba kapandwa na kichaa
anahitaji kurekebishwa"
mb dog akikwambia latifa,"penzi la dhati lati mi ntaona aaaa
penzi la uzushi lati mi ntajua...
Hawa ndo nawaona mara kwa mara wakitoa likes
1:Shunie , huyu dada post nyingi ukimqoute lazima ulambe like
2: mshana jr
3:daudi mchambuzi
4: mc 7
5:chlorine gas hasa post za mondi ukimsifia...
Kuna uwezekano mkubwa sana kwamba hii Shule ya ( Kisimi-ri ) labda huwa inafanya vizuri kwakuwa Wasahihishaji wake wengi huwa ni Wanaume ambao pengine wakiwa wanaanza kusahihisha Mitihani yao huwa...
Jino langu linauma sana usiku
Hili ni jino langu la kwanza kung'oa.
Wakuu nimevumilia maumivu ya hili jino kwa miaka 10 sasa.
Jana na lenyewe likazidisha maumivu makali mno, nilibaatika...
Nilizaliwa Jumamosi July 15 na Leo Ni Jumamosi July 15, Ahsante Mungu Baba Kwa Kunipa Pumzi na uhai wa kuuona Huu mwaka Mwingine wa Baraka Kwangu!
Uhimidiwe ee Mungu Baba Mwenyezi!
*Eti jana usiku mwizi kavunja mlango kwangu akaanza kutafuta kitu kila kona ikabidi na mimi niamke; nikamuuliza anatafuta nini akanijibu HELA ndipo nilipoanza na mie kutafuta nae maana hata hela...
Chako ni lazima ukisifie.. kwa kweli jamii forums inastahili kuitwa JUKWA A BORA KABISA LA KIJAMII.. Kila kitu unakipata hapa.
1. Taarifa yoyote unapoitaka kuhusu mtu au kitu chochote ikigoogle...
Hiii ni aibu kwa mara ya pili azania inavuta mkia, hakika si jambo jema ni jambo la kuumiza hasa sisi tuliosoma pale na kuondoka na one zetu kali!
Hiv mzimu gani anawaandama vijana wanao kwenda...
Jf ni burudani
yaani kila misemo ipo humu
ilianza na
mwendo kasi
wahenga
maknikia
kuliamsha dude n.k
sasa ipo hii mpya na iliyonifanya nicheke hadi nipost humu
mtu anareply uzi mwishoni...
Wanasema ati ukila nyama ya punda ati unakuwa na nyota ya punda ya kubeba mizigo
Basi mwenzenu nimekula mafuta ya kwenye ile kondom ati cjui nitakuwa na nyota ya kwa jinc gan
mnisaidie mapeople...