Hili jukwaa vipi? Au hali inakaba hakuna bundle? Siku hizi nikichungulia Nalog-off haraka ila nyuma nilikuwa nasahau hadi kazi za mkoloni. Kiufupi uchovu wa kazi nilikuwa nautolea hapa.
Juzi...
imewekwa kwenye historia kua mnyakyusa wa kwanza kuongea na mchezaji huyo wa Everton kua Daktari Mwakyembe tarehe 12/07/2017 jijini Dar es salaam.
aya wazazi ilo ni tilio jipya kwa maarifa ya...
UTAJUAJE KAMA WEWE NI MUHENGA?
1. Kama ulikata daftari mara mbili. Kipande kimoja ukaacha nyumbani na kingine ukaenda nacho shule. Wewe ni muhenga.
2. Kama ulitumia kipande cha kandambili kama...
Habar za jion ndugu zangu.poleni na mihangaiko ya kila siku.na mimi najipa pole leo kwa kukesha Jf.
Moja kwa moja kwenye lengo
Wapendwa Jf ni kubwa na ina watu waliotoka sehemu mbalimbali kwa...
Huu ndiyo ukweli wanawake na wanaume wasiopenda kupiga selfie wanasura mbaya, hawajipendi, hajiamini pia hawapendi kuona sura zao maana ni mbaya na hazina mvuto.
Usitokwe povu huu ndiyo ukweli.
Basi bhana baada ya kuachana na mama na maneno yake ya kila siku kuhusu kutafuta kazi kuliko kushinda kwenye vilinge na masela na wana,Nikazama gheto kwangu huku nimechoka na kinjaa uzembe...
Napenda kuchukua nafasi hii ya kutaka kujuaana maeneo tunapopatikana na si lazima kuweka jina lote sababu ya usalama.. lakin unaweza kuweka kazi au kitu kingine ..
Nianze na mimi mwenyewe...
Jina...
Kila mtu akifumaniwa awe mwanamke au au mwanaume utetezi wa kwanza ni "Nisamehe shetani alinipitia".
Mbona wezi huwa hawatoi sababu hii? Shetani ana nini na wachepukaji?
Mm ni miongon mwa watu wanaomini kamali Ina shetani mbaya Sana ambaye huyakontrol maisha ya wachezaji kamali.
Siku moja mcheza kamali mmoja alicheza kamali akaliwa hela .mpaka ya kula akalala na...
Katika hali isiyo ya kawaida, Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Kerege wilayani Bagamoyo aliamua kijitoa ufahamu na kuanza kupigana na mhudumu wa baa inayotazamana na shule anayofundisha tena mbele...
Naitwa A am 21, Kwa Miaka Mingi sana marafiki zangu Ndugu Zangu na watu wengine wengi wamewahi kuniambia kwa Nyakati Tofauti Kwamba Mimi Ni Mtu Mwenye uwezo Mkubwa wa Ushawishi (HIGH CONVICING...
A woman in a hot air balloon realized she was lost. She reduced altitude and spotted a man below.
She descended a bit more and shouted, "Excuse me, can you help me? I promised a friend I would...
Leo sijisikii kuwasalimia, ngoja niende kwenye hicho nilidhamiria kuwashirikisha.
Leo asubuhi muda wa saa 2.28 nilifika eneo la benki ya CRDB Tawi la Nyerere hapa Mwanza. Ilikuwa imebaki kama...
Kama kichwa kilivyojionyesha hapo juu,
Kuna watu unahisi hawana mvuto kwako, pengine ni tabia zao, au staili zao, zinazokupelekea kuwaona kuwa hawafai na hawana mvuto kwako.
Mfano;
1. Malaya...