Hili nimeliona sehemu nyingi sana unakuta mpo ' Wawili ' tu Wewe na Mwanamke fulani halafu inatokea unasikia kabisa ' harufu ' kali ya ' Mjambo ' na ukiangalia pembeni yenu hamna Mtu yoyote zaidi...
Bora ya MTU ni yule aliye Fanya kazi ya halali kwa mikono yake 2 kwa kutoka jasho na kuitimizia familia yake mahitaji ya msingi kupitia kipato hicho cha halali kama vile kukata/kukusanya kuni...
TUUMIZE VICHWA KIDOGO
KIJANA mmoja mtanashati aliingia kwenye hoteli moja kama mteja, akaomba aonane na bosi. Baada ya kuruhusiwa, mazungumzo yalikwenda kama hivi;
Mteja: Samahani, naomba kujua...
Hamna Kazi ngumu kama Kumtokea Demu Mpya
ambaye hamjawahi kukutana duniani wala
hamjuani...Lakini kuna Mbinu nimeigundua ambayo
ukiitumia itakusaidia kupunguza RESISTANCE!
Kama Demu ni MZURI na...
Nakumbuka mtihani wa darasa la saba unaanza kama masihara hivi?:-
19+ 87 =
219 - 45 =
12 x 34 =
59/7=
...........
Afu huko mbele sasa kuanzia swali la sita na saba hivi, unajuutaa:
Ndege...
*Nimelala nikawa naota BILL GATE ananiamsha.."boss,boss amka chakula tayari"*
*...Eti jaman hii sio dalili ya malaria kweli...*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-J500H using...
Habari zenu wandugu wa jf
Eti mabraza ni Kabila gani ambalo ukitongoza Mademu hua hawakatai kabisa
Na nyie masista ni Kabila gani ambalo wanaume wakiwatongoza hua hamuwakatalii?
Habari wana JF.
Kulikuwa na mwaliko wa kushiriki nyamachoma kwa JF members siku ya sabasaba. Naomba tupate mrejesho wa kilichojiri siku hiyo (kama mada iliisha letwa basi mniwie radhi sikuiona)...
Habari wadau, nimejaribu kufikiria na hili kuhusu avatar za member wengi wengi wa jf zinaendana na tabia zao.maana sometime nikiangalia avatar ya mtu na anachopost au comments nagundua wazi kabisa...
Watoto Wanacheza mchezo unahusisha kijiti wamekichimbia kwenye mchanga kimesimama wima!!
Kila mshiriki anatakiwa kufukua mchanga kidogo kidogo kuelekea kilipo kijiti.
Mwisho wa mchezo ni pale...
Ni muhimu binamu kujipenda, kuanzia usafi wa nywele, ngozi, kinywa, mavazi , malazi na chakula. Kwenye bible Adams alipewa nguvu na uwezo wa kutawala wanyama sasa tusipojipenda si tunajiweka sawa...
Katika mtandao wenye Majina ya ajabu na ya kuchekesha basi Jf inaongoza,
Kuna Majina ya Ajabu haijawahi kutokea(in tundu lissu voice) mpaka mtu unajifikiria hilo jina alijipa au alipewa na mtu ...
Hii njia milifundishwa na bibi yangu na kwakweli ilifanikiwa kudhibiti harufu na tuliweza kuweka mkeka uani na kupiga story.
Ukinunua samaki wa bichi ukishawasafisha matumbo na mshamba na uchafu...
Jamaa kwa kuchoshwa na tabia ya mkewe iliyobadilika ghafla akaamua kumpleka kwa Mchungaji ili amuelezee nini tatizo mambo yakawa hivi:
Mchungaji: Mumeo analalamika umebadilika sana siku hizi nini...
MREMBO: Baby naomba unisaidie pesa nikaseti nywele zangu, naona haziko sawa
Nikazama mfukoni nikachomoa noti kadhaa za elfu tano tano na kumpatia mrembo.
MIMI: Baby japo najua pesa hiyo ni...