JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jinsi haujawai pitwa na wakati ,toka, Ikiwa mpya ndo fasheni ,ikipauka ndo inazidi kuwa fasheni,Ikichanika ndo usiseme ,Yaan bonge ya katalogiii... Hivyo hivyo kwa mtoto wa kiume ,Huwa kwanza...
6 Reactions
39 Replies
3K Views
Kama kukohoa tunakohoa,kama chafya tunapiga,kama makamasi tunapenga hadharani.sasa wanasayansi wamethibitisha kujamba kunapunguza saratani na shambulio la moyo.kwa hiyo JIJAMBIE KWA AFYA RAFIKI
2 Reactions
35 Replies
6K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Husika na kichwa cha habali hapo juu Katika raha kubwa ambazo shawahi kukutana nazo ni pamoja na hii ya kuoa mwana mke anayenizid miaka yaan ni raha sana...
10 Reactions
108 Replies
10K Views
Lile tangazo La SIZONJE naona kama limepuuzwa vilee. C tuliambiwa mpaka kufika mwezi wa sabaa atakaebakia MUJINI[emoji538] [emoji545] [emoji537] [emoji536] ni kidume Sasa mwezi huooo unaelekea...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Pauka :....,......... Pakawa: Hapo zamani za kale palitokea bibi mmoja na mjukuu wake,mjukuu wake huyo alikuwa kipofu lakini alikuwa Mbishi kupita maelezo; Neendelee !!!!nisiendelee! Katika...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Him: *Akielekezea bunduki kichwani* Me: “Mungu wangu, tafadhali usiniue, chukua chochote unachotaka usiniue tafadhali“ Him: “Niulize swali lolote ambalo unahisi sitaweza kulijibu ama sivyo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Siku ya kwanza wakati napelekwa secondari,nikiwa nipo kwenye korido huku nikisubiria utaratibu wa kuandikishwa,alitokea mwanafunz mmoja aliniambia nijaze shikamoo kwenye mfuko wake wa shati la...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
2 Reactions
13 Replies
3K Views
*KISIRANI* is when you give a beautiful girl a lift and she faints in your car. You take her to the hospital and when you get there, the doctor says she's pregnant and congratulates you that you...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Jioni hii nimecheka sana baada ya kukutana na mjasiriamali mmoja anayeuza vidubwasha flani vinavyotengenezwa kwa ngano ambavyo vinaumbo la duara, kilicho nichekesha zaidi ni jina alilovibatiza...
6 Reactions
41 Replies
4K Views
Wakuu habari za jioni.. Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia afya telee, pia wale wote wanaougua kwa namna yoyote ile mwenyezi Mungu apate kuwaponya kwa mapenzi yake...
2 Reactions
12 Replies
902 Views
sasa tumebadilisha msemo wa "maisha popote" na kusema "maisha popote sio KIBITI" #WapostPumba
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Karibuni wanajamvi!binafsi nikiwa bar....halafu bendi inapiga mubashara!nisipopigiwa nyimbo hizi 2.......hapatakalika! 1.Nawashukuru wazazi wangu.....wakati wowote 2.Tanzania yetu ni nchi ya...
4 Reactions
64 Replies
7K Views
HIFADHI MAZAO BILA KUTIA DAWA Kwa ajili ya kulinda afya ya mlaji, tumia mifuko ya kisasa (helmetic) kuhifadhi mazao yako. Mifuko inaitwa PICS Na AgroZ. Ukubwa: kilo 100 Bei: 4000 Tutakutumia...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Sasa wewe jifanye unampenda sana ukaanza kumsomesha,kabla hujachukua maamuzi tambua kwamba mwanamke hasomeshwi Hawana wema hawa viumbe,unaweza kumsomesha mpaka masters halafu ukaambulia kupewa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarini ndugu wana Jf nimatumaini yangu mko vizuri mnaendelea na majukumu Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni kushirikishana tabia zinazo kuudhi ambazo zimekuwa zikifanywa na baadhi ya watu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
*MWALIMU* angaiko mbona Leo unawaza sana darasani? [emoji18][emoji18] *angaiko* kwasababu baba yupo polisi na mama yupo hospitali *MWALIMU* ooh pole mwanangu, kwa hiyo unahitaji kwenda nyumbani...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
0 Reactions
1 Replies
996 Views
hii ni kwa wadada wote wa JF, kama boyfriend wako anakusaliti basi njoo PM tufanye mpango na sisi tumsaliti......na hiyo ndiyo maana halisi ya "malipo ni hapa hapa duniani" #WapostPumba
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…