ZMilipokuwa mdogo kupanda maua ilikuwa hobby yangu. Wakati ule ni kuona maua hata yawe Chang'ombe au Keko nitafuatilia nipate mbegu.
Nilikuwa na collection ya maua ridi Meupe, pink na mekundu...
UTAJUAJE KAMA WEWE NI MUHENGA.
zifuatazo ni factors za kujijuaa kama wwe ni mhenga[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji223][emoji223][emoji87]
1. Kama ulikata daftari mara mbili. Kipande kimoja...
Wakuu maombi yenu jamanii, nipositi moja na mama mkwe halafu mfukoni nina sh. 400/= tu! Na nimefanya uchunguzi wa kiintelijensia nimebaini kua hiyu mama mkwe hajabeba hela hata sh. 100, bila shaka...
Yaani nilikuwa sijawahi kukutana na kitu kama hiki katika maisha yangu.Nilikuwa nikisikia tu kwa watu nakuona kama wanazingua.Sasa baadaye yakaja kunikuta kwa dada mmoja wa Kihaya ambaye ni...
Vipi Dada yangu kama ulifanikiwa kuolewa na yule Mchina hongera.
Lakini baada ya hongera, nataka kujua kama ulikuja kuishi huku. Kwa maana nahitaji nikuone.
Mimi naishi hapa mjini na nitakuwapo...
Aliyo nao anitumie nimeusahau wanavyo uimba na hata jina la aliye uimba pia nimesahau ila nakumbuka beat yake inapiga hivi
titiiii..taa..tatataah..tiktaaa..didididi..
Msaada jaman kwa anae ufahm...
ewe mwanamke kokote ulipo chagua mwanaume mwenye hela, infact siku hizi hakuna mapenzi ya kweli ni kheri ukatoa machozi kwenye BMW kuliko baiskeli
#WapostPumba
Jamani naombeni msaada wenu kwa niaba ya rafiki yangu. Kajiopolea mchumba au niseme boyfriend wa kutoka Congo ila tabia zao hazieleweki eleweki,wanagombana Kila kukicha. Yaani yuko mguu mmoja nje...
samaki akioza mmoja wameoza wote kama ilivyo klabu ya Simba viongozi wao wote mafisadi hata mashabiki wote wezi tu....ukimind nifate kwetu KIBITI
#WapostPumba
Upuuzi mtupu, Jaza Ujazwe ujinga mtupu, niweke airtime ya Tzs. 50,000/= nikaambulia meseji hamsini eti ndio nimejazwa!!! Tigo mnitake radhi kwa ujinga huu