1. Wanaume wakatili zaidi Afrika - Waangola, Warundi na Wanubi (Sudan). Ukiwakosea ni kipigo au kifo. Kwao hakuna msamiati uitwao "MSAMAHA".
2. Wanaume wanaojali zaidi familia zao Afrika -...
Kwa wale wanywaji siongelei walevi,
Hivi unaweza kukaa siku ngapi hujatupia hata bia mbili? Maana mimi leo tokea naamka pale kitandani niliapa kuwa sinywi tena mpaka siku ya sabasaba, lakini...
Uzi huu uachwe ujitegemee.
Kama sio uonevu kwa mwanafuunzi wa kike ni nini? anatiwa mimba na mwanafunzi, baba au kaka wa kufikia au mtu mwingine halafu jamii linamhukumu peke yake,inakuwaje...
Kuna aina tatu za watu:
1. Wasiochukua ushauri kwa mtu yoyote.
2. Wanao chukua ushauri kwa kila mtu
3. Wenye watu wao maalumu wanao waamini linapokuja swala la kutaka ushauri.
Je wewe upo kundi...
Nampa big up aliefanya tukasherehekea idd jumatatu na jumanne,ameietendea haki miili yetu.
Msihoji haki gani,ila na ahidi nasi wakristo tutalipa fadhila December 2017.
Hivi wanajumuiya ni starehe gani ambayo ukiipata unajihisi kama uko ulimwengu mwingine?.Kwangu mimi naona kama starehe kuu kuliko zote ni kugegeda.Raha ya kugegeda naona kama haina mpinzania na...
Napenda sana JamiiForums lakini ndugu yangu Mshana , topic zake zinanifanya nitake kujua mengi kuhusu jamaa. Je, ndugu yangu mbona umebase kwenye mambo ya kuzimu , uchawi nk?
Post zako binafsi...
Asalaam aleykum wana JF. Poleni na majukumu ya hapa na pale ya kutafuta riziki.
Lengo kubwa la kuleta huu Uzi mbele yenu ni kwamba nimetokea kumpenda sana huyu mdada SKY ECLAT. Umekuwa...
Weka jambo ambalo ukikumbuka tafakari yake inakurusisha nyuma sana Leo ukikumbuka unabaki na tabasamu /furaha /huzuni.
Mimi nakumbuka wakati im Coming from the cold (sina kitu) ilikuwa inaweza...